Muwekeane mipaka ya vitu vya kukuhadithia mana kwa ujinga kama huo inaonyesha kabisa hamuheshimiani.
Sababu yeye ndio wa kufanya maamuzi sasa kukushirikisha ni jambo ambalo kwangu naliona haliko sawa sababu kwa akili ya haraka haraka anataka umshauri kitu gani hapo.
Duh mpaka nashindwa cha kukomenti wakulungwa kweli idadi ya wanaume duniani imezidi kupungua hivi unawezaje kuwa na mwanamke wa aina iyoo anakueleza useng* na unamsikiliza tena kuja kuandika upumbavu kama huu nina wasi was utakuwa unasumbuliwa na pneumonia wakakupime aisee