Sijui nifanyaje: Kuna dada nimempa ujauzito lakini sina mpango nae. Nawaza bwana ake akijua sijui itakuaje

Imba si kitu cha kutia hofu hivyo. Wewe lea mimba hiyo mtoto azaliwe. Kwani lazima umuoe mtu uliyezaa naye?
 
We bado ni mtoto sana,Yani unasema nyapu ni ile ile khaaaaaaaa..Haujakutana na mafundi wewe
Ipo hivi mwezi wa 10 mwaka jana nilitembelewa na mwanadada mmoja mzr wa kichaga ofisini kwangu nikamuhudumia vzr na nikampa namba kwa kwa lengo la kunipigia tena pindi atakapotaka huduma zilizomleta ofisin.

Kiukweli yule mdada nilivyomuona nilimtamani sana ila nashangaa baada kama ya masaa mawili kupita nikaona namba ngeni ikinipigia nikamuuliza nani akasema mimi ni yule mdada niliekuja ofisini mida fulani nikasema sawa bac akanishukuru kwa huduma nzr nkasema sawa.

Baadae tena akaanza kunichatisha mambo kibao nikaona huyu mdada atakuwa ananitaka bac kufupisha stori ni kwamba huyu mdada anaishi na mwanaume but huyo mwanaume apigi mashine anaweza kaa hata miezi mitatu ndio akaomba na akipewa anaipiga kwa tabu sana inasemekana yupo na matatzo bac yule dada nikaanza kudate nae. Sasa kwa bahat mbaya mwezi wa 12 niliichapa sana mpaka kuna siku nikamtia mimba bac sasa mdada anataka niishi nae namimi sina lengo la kumuoa huyo mdada hana mtoto lakini muonekano wake tayari ni kama mshangazi fulani halafu pia ana mwili mkubwa na yupo na miaka 28 .

Na ananipenda sana mara zote anataka kuwa kwangu inabidi nimpige chenga na kitu kingine kibaya mwamba anaeeishi nae atungishi mimba kwa maelezo ya dem maana washaakaa miaka miwili hakuna kitu sasa nawaza ile jamaa akija stukia chezo akimfukuza huyo dem mimi nitamuweka wapi coz tayari nina mchumba wangu na huyu ana mimba yangu nashindwa nifanyeje ndugu zangu yaani najuta sana kudate na huyo manzi.
Mwisho tuacheni tamaa kiukweli nyapu ni ile ile sema tu tamaa zetu huwa zinatuponzaa kiukweli nimekwama hata sijui la kufanya
 
Kama ulivyofurahia kumla,furahia pia mimba
 
Hii DUNIA tunayo iona haijajengwa na wanaume dhaifu..

Kila tunacho kifanya kina gharama zake kua MWANAUME maana yake ni kuwa mtu wa maamuzii.

NB. Being a Man , nikua tayari kwa chochote muda wowote...mguu pande...mguu sawa.
Tatua Hilo tatizo mwenye uwezo UNAO nguvuuuuuuuu unazo.. kwenye MAHUSIANO huwezi kuishi DOUBLE LIFE.. Ndugu zetu waislamu mnawezaje kuishi na wanawake wawili wawili.. tena binafsi wife wangu ni SPY

Nililala TU ana pekua simu yangu nikiwa na mchepuko lazima anidake..sisi wanaume tuna cheat ila still familia zetu ndio first priority KWETU.

min -me
secretarybird
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Monetary doctor
 
Ipo hivi mwezi wa 10 mwaka jana nilitembelewa na mwanadada mmoja mzr wa kichaga ofisini kwangu nikamuhudumia vzr na nikampa namba kwa kwa lengo la kunipigia tena pindi atakapotaka huduma zilizomleta ofisin.

Kiukweli yule mdada nilivyomuona nilimtamani sana ila nashangaa baada kama ya masaa mawili kupita nikaona namba ngeni ikinipigia nikamuuliza nani akasema mimi ni yule mdada niliekuja ofisini mida fulani nikasema sawa bac akanishukuru kwa huduma nzr nkasema sawa.

Baadae tena akaanza kunichatisha mambo kibao nikaona huyu mdada atakuwa ananitaka bac kufupisha stori ni kwamba huyu mdada anaishi na mwanaume but huyo mwanaume apigi mashine anaweza kaa hata miezi mitatu ndio akaomba na akipewa anaipiga kwa tabu sana inasemekana yupo na matatzo bac yule dada nikaanza kudate nae. Sasa kwa bahat mbaya mwezi wa 12 niliichapa sana mpaka kuna siku nikamtia mimba bac sasa mdada anataka niishi nae namimi sina lengo la kumuoa huyo mdada hana mtoto lakini muonekano wake tayari ni kama mshangazi fulani halafu pia ana mwili mkubwa na yupo na miaka 28 .

Na ananipenda sana mara zote anataka kuwa kwangu inabidi nimpige chenga na kitu kingine kibaya mwamba anaeeishi nae atungishi mimba kwa maelezo ya dem maana washaakaa miaka miwili hakuna kitu sasa nawaza ile jamaa akija stukia chezo akimfukuza huyo dem mimi nitamuweka wapi coz tayari nina mchumba wangu na huyu ana mimba yangu nashindwa nifanyeje ndugu zangu yaani najuta sana kudate na huyo manzi.
Mwisho tuacheni tamaa kiukweli nyapu ni ile ile sema tu tamaa zetu huwa zinatuponzaa kiukweli nimekwama hata sijui la kufanya
Mchumba wako nitamweka busy hataweza kushtuka kama umempa huyo mshangazi mimba.
 
Back
Top Bottom