Sijui nifanyaje: Kuna dada nimempa ujauzito lakini sina mpango nae. Nawaza bwana ake akijua sijui itakuaje

Sijui nifanyaje: Kuna dada nimempa ujauzito lakini sina mpango nae. Nawaza bwana ake akijua sijui itakuaje

5. Uchumba mzuri na ndoa nzuri ni ile iletayo kelele za watoto ndani za kukufanya uchangamke akili maana tayari una familia.
Jamaa alikua anataka kumla tu sio kuzaa nae kumbe mission ya manzi ilikua tofauti sana na hata hizo story za jamaa yake alikua anampanga tu in short amemzidi akili na yeye kajaa sasa hapo kofuatacho ni kuhudumia mimba tu sio vinginevyo
 
anyway, acha ujinga, leta mkeo ndani, tafuta hela, tunza mimba na MUNGU akujalie azae salama na utunze familia, achana na huyo tapeli anayekulia hela kwa jina la uchumba na usebule.
Kashakwambia mwanamke alikua anatafuta pa kukojolea tu sio kuzaa nae na anakwambia ni Mshangazi una miaka 28 mwili mkubwa na hapo kwenye umri nadhani pia kapigwa kamba nyingine na yeye kajaa yaan amezaa na bibi anaekimbilia miaka 40 na yeye kakubari ana miaka 28 halafu fresh
 
Tamaa ikizidi, hufunika hekima ya mtu.

Aliyefungwa na tamaa haoni thamani ya alicho nacho
.
Ukifunuliwa pale chini ukalingishiwa namna fulani hautakumbuka masuala ya tamaa wewe ni kuuchomeka tu na kusubiria hadi ukojoe, ukishakojoa ndio akili zinaanza kuchaji kwa sana yaan akili zinakua km zimefufuka hivi ila kabla ya hapo wala ulikua hauwazi sana
 
Kashakwambia mwanamke alikua anatafuta pa kukojolea tu sio kuzaa nae na anakwambia ni Mshangazi una miaka 28 mwili mkubwa na hapo kwenye umri nadhani pia kapigwa kamba nyingine na yeye kajaa yaan amezaa na bibi anaekimbilia miaka 40 na yeye kakubari ana miaka 28 halafu fresh
Alihisi yeye ndo main character kwenye movie 😂
 
Na ananipenda sana mara zote anataka kuwa kwangu inabidi nimpige chenga na kitu kingine kibaya mwamba anaeeishi nae atungishi mimba kwa maelezo ya dem maana washaakaa miaka miwili hakuna kitu
Za kuambiwa changanya na zako.
Usiamini sana hawa watu
Inawezekana umeingia kwenye mfumo baada ya kuona kwako kuna maslahi zaidi.
 
Anaishi kwao bado so sipat muda mwingi wa kuwa nae
Oya sikia fanya hivi chukua hio manzi mtoto subiri azaliwe kapime DNA unaweza ukawa umepangwa kwenye foleni humu kuna uzi ulielezea Mzee alisetiwa na manzi mwenye kadi 4 za Klinik na wote alikua anawabamiza hela za matumizi. Kwa hio jaribu kumcheck vizuri hio manzi imekupanga sana na wewe inaonekana ushajaa kwenye mfumo.
 
Ukifunuliwa pale chini ukalingishiwa namna fulani hautakumbuka masuala ya tamaa wewe ni kuuchomeka tu na kusubiria hadi ukojoe, ukishakojoa ndio akili zinaanza kuchaji kwa sana yaan akili zinakua km zimefufuka hivi ila kabla ya hapo wala ulikua hauwazi sana
Hv mwamba
Kukuta mwanamke yupo uchi halafu kalala kutazama juu na mbunye inaonekana NA akiwa amelalia tumbo paja nje tako hadi mgongo ni kipi chaweza kukuchanga ukafanya maamzi kama mtoa post?
 
Oya sikia fanya hivi chukua hio manzi mtoto subiri azaliwe kapime DNA unaweza ukawa umepangwa kwenye foleni humu kuna uzi ulielezea Mzee alisetiwa na manzi mwenye kadi 4 za Klinik na wote alikua anawabamiza hela za matumizi. Kwa hio jaribu kumcheck vizuri hio manzi imekupanga sana na wewe inaonekana ushajaa kwenye mfumo.
Mzee nimeruka kinoma nishamwambia mi cwez kuamini hicho kitu sababu wewe ni mtu unaeishi na mwanaume so nitaaminije kama mimba ni yangu
 
Back
Top Bottom