Sijui nifanyaje: Kuna dada nimempa ujauzito lakini sina mpango nae. Nawaza bwana ake akijua sijui itakuaje

Sijui nifanyaje: Kuna dada nimempa ujauzito lakini sina mpango nae. Nawaza bwana ake akijua sijui itakuaje

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,542
Reaction score
6,490
Ipo hivi, mwezi wa 10 mwaka jana nilitembelewa na mwanadada mmoja mzuri wa Kichaga ofisini kwangu.

Nikamuhudumia vizuri na nikampa namba kwa lengo la kunipigia tena pindi atakapotaka huduma zilizomleta ofisini.

Kiukweli, yule mdada nilivyomuona nilimtamani sana, ila nashangaa baada ya kama masaa mawili kupita nikaona namba ngeni ikinipigia. Nikamuuliza nani, akasema mimi ni yule mdada niliyokuja ofisini muda fulani. Nikasema sawa, basi akanishukuru kwa huduma nzuri, nikasema sawa.

Baadaye tena akaanza kunichat mambo kibao, nikaona huyu mdada atakuwa ananitaka. Basi kufupisha stori, ni kwamba huyu mdada anaishi na mwanaume, lakini huyo mwanaume hapigi mashine, anaweza kaa hata miezi mitatu ndipo akaomba, na akipewa anaipiga kwa tabu sana, inasemekana yupo na matatizo. Basi yule dada nikaanza kudate naye.

Sasa kwa bahati mbaya, mwezi wa 12 niliichapa sana mpaka kuna siku nikamtia mimba. Basi sasa mdada anataka niishi naye, na mimi sina lengo la kumuoa. Huyo mdada hana mtoto, lakini muonekano wake tayari ni kama mshangazi fulani, halafu pia ana mwili mkubwa na yupo na miaka 28.

Na ananipenda sana, mara zote anataka kuwa kwangu. Inabidi nimpige chenga. Na kitu kingine kibaya, mwamba anayeishi naye hatungi mimba kwa maelezo ya dem, maana wamesha kaa miaka miwili hakuna kitu.

Sasa nawaza, ile jamaa akija stukia mchezo akimfukuza huyo dem, mimi nitamuweka wapi, kwa sababu tayari nina mchumba wangu na huyu ana mimba yangu. Nashindwa nifanyeje ndugu zangu, yaani najuta sana kudate na huyo manzi.

Mwisho, tuacheni tamaa. Kiukweli, nyapu ni ile ile, sema tu tamaa zetu huwa zinatuponza. Kiukweli nimekwama, hata sijui la kufanya.

Soma Pia:
 
Ipo hivi mwezi wa 10 mwaka jana nilitembelewa na mwanadada mmoja mzr wa kichaga ofisini kwangu nikamuhudumia vzr na nikampa namba kwa kwa lengo la kunipigia tena pindi atakapotaka huduma zilizomleta ofisin.

Kiukweli yule mdada nilivyomuona nilimtamani sana ila nashangaa baada kama ya masaa mawili kupita nikaona namba ngeni ikinipigia nikamuuliza nani akasema mimi ni yule mdada niliekuja ofisini mida fulani nikasema sawa bac akanishukuru kwa huduma nzr nkasema sawa.

Baadae tena akaanza kunichatisha mambo kibao nikaona huyu mdada atakuwa ananitaka bac kufupisha stori ni kwamba huyu mdada anaishi na mwanaume but huyo mwanaume apigi mashine anaweza kaa hata miezi mitatu ndio akaomba na akipewa anaipiga kwa tabu sana inasemekana yupo na matatzo bac yule dada nikaanza kudate nae. Sasa kwa bahat mbaya mwezi wa 12 niliichapa sana mpaka kuna siku nikamtia mimba bac sasa mdada anataka niishi nae namimi sina lengo la kumuoa huyo mdada hana mtoto lakini muonekano wake tayari ni kama mshangazi fulani halafu pia ana mwili mkubwa na yupo na miaka 28 .

Na ananipenda sana mara zote anataka kuwa kwangu inabidi nimpige chenga na kitu kingine kibaya mwamba anaeeishi nae atungishi mimba kwa maelezo ya dem maana washaakaa miaka miwili hakuna kitu sasa nawaza ile jamaa akija stukia chezo akimfukuza huyo dem mimi nitamuweka wapi coz tayari nina mchumba wangu na huyu ana mimba yangu nashindwa nifanyeje ndugu zangu yaani najuta sana kudate na huyo manzi.
Mwisho tuacheni tamaa kiukweli nyapu ni ile ile sema tu tamaa zetu huwa zinatuponzaa kiukweli nimekwama hata sijui la kufanya
Acha kutusumbua mkuu.

Ulitakiwa kutushirikisha wakati unaipiga sana.
 
Ukute na huyo mwanaume uliyeambiwa hapigi mashine vizuri naye ana mchepuko wake anaoupelekea moto sana, kwa sasa na wenyewe una ujauzito 😂

Verzuz Battle GIF by Verzuz.gif

Hapo ikitokea mmoja wenu kaja na STD basi wote watano kimewalamba!
 
1. Mwanamke yeyote anayekubali kukubebea mimba huyo ndo mke wako, achana na haya maisha ya kwenda kumaliziana hela kwa jina la kuchunguzana mara mchumba

2. Vuta mke wako ambaye ana mtoto wako weka ndani, achana na mchumba ambaye hujui ni lini atakuzalia hata kipanya tu.

3. Achana na usasa wa kula ice cream eti mnachunguzana

4. Siku ukimuoa huyo msebule ukakuta hanasi mimba utamuacha au upendo utaendelea?

5. Uchumba mzuri na ndoa nzuri ni ile iletayo kelele za watoto ndani za kukufanya uchangamke akili maana tayari una familia.

anyway, acha ujinga, leta mkeo ndani, tafuta hela, tunza mimba na MUNGU akujalie azae salama na utunze familia, achana na huyo tapeli anayekulia hela kwa jina la uchumba na usebule.

"HAUTANIELEWA"
 
Back
Top Bottom