Sijui nichague wapi

Ha haaaa,sipend kuomba nlizidiwa na shida tu ndo mana nkaomba hiyo kdg

Siku nyingine ukiwa na shida ya hela ndogo kama hiyo ni afadhali ukampiga kirungu mwanaume ambaye unajua anakutolea macho..
 
Amina,niutaufanyia kazi ushauri wako
 
Hahahahaa huyo wa buku tano kanichekesha hatari...ni hapo tu nimesoma huko kwengine hata sijasoma
 
Umejitahidi kujifanya uonekane kuwa Wewe ni mwema Wakati ni mpenda hela namba moja

Mapenzi ni furaha Kwahyo kama unapenda hela na jamaa hakupi ina maana hupati furaha basi achana naye

Lakin hakikisha kuwa Huyo mpya ni mtoa hela Sababu ndio unachokitaka Kutoka kwa mpenzi.

Conclusion:
Kujitambua ni suluhisho la mengi. Tambua kuwa Wewe ni mpenda hela na Si mpenda mapenzi
 
Hahahahaha.Aiseee ila kuna watu wachoyo yani elfu tano akamind?Duh???Pole sana
 

mpenda hela ataomba elfu5?
Binti wa watu alizidiwa.
Mjifunze kuhudumia jamani, siyo lazima muombwe hela.
Mtu anaomba elf5 ushamuweka kwenye kupenda hela khaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…