asanteAseee!!
yani mwanamke na watoto wa3 unacheat? Then?
ona sasa mateso kwa watoto.
Inamana huyo wa miezi 9 kaacha kunyonya ama?
Pole sana asee!!!
ubinadamu kazi!!!!!
wazee wapo na wapo tayari kuwalea hawa watoto, ila shida moja kubwa nina historia mbaya ya watoto waliowahi kulelewa na bibi yao(mama yangu) baada ya wazazi wao kufariki kwa ajari , kiukweli yalikua malezi mabovu sana kiasi kwamba hata mi wakati mwingine hua nashindwa kuelewa jinsi gani nilifanikiwa kua katika malezi mazuri mpaka nikafika hapa nilipo , ndio maana niliamua kukaa nao nawelee mwenyewe ili siku za usoni nisije juta tena kwa kile kitakachotokea, besides,i love them very much.Mpe talaka yake. Huna wazee wewe hao watoto wakalelewa na bibi yao?
Hili ni kama tu unaushahidi 100% without doubt na si circumstantial.
Na wenye kusamehe ni wabora zaidi.
pole sana kaka, hivi mtoto mdogo ndo huyo kwenye avatar ysko?ni ngumu sana, hebu fikiria niliachwa na huyo mtoto wa miezi tisa. ili bidi niombe ruhusa kazini ili nianze kulea hawa watoto. inauma sana
asante
huyu dogo aliachishwa kunyonya kwa mama yake when he was just 5 month, kwa kisingizio mtoto hashibi maziwa ya mama, later on nilikuja kujua kua mama alikua anajua nini anafanya so alitaka asimdhuru mtoto(kumbemenda) mtoto( nilimpongeza kwa hilo), khy mtoto hakuona wala haoni tofauti ya mama kuwepo wala lah ,he his very healthy and happy and thanks god toka atoke aghakhan siku yakuzaliwa mpaka leo hajaugua hata kidogo. hospt hua tunaenda kwa ajiri ya clinic tu.
pole sana kaka, hivi mtoto mdogo ndo huyo kwenye avatar ysko?
JE huyo waifu wako mlijuana katika mazingira gani? je ulimuoa kwa taratibu za kiimani au uliweka tu ndani? mlikuwa katika uhusiano kwa muda gani kabla ya kuishi pamoja? Je huyo waifu anafanya shughuli gani au ni mama wa nyumbani tu? Kuna tofauti gani ya umri kati yako na yeye? vipi kuhusu performance yako kwenye shunghuli (kuwa muwazi hapa)? Jibu haya kwanza mengine baadaye
CC mahondaw tunahitaji busara zako hapa dada'angu. kuja haraka!!
forgive and forget just for the sake of your kids! although sometimes situation becomes very complex kiasi kwamba no msamaha is needed ..kila mtu kwake na maisha yake baassss kama watoto wamekua unawalea wewe baba vizuri tu..wanawake waelewa tupo tutalea hao watoto kwa moyo wote ..
forgive and forget just for the sake of your kids! although sometimes situation becomes very complex kiasi kwamba no msamaha is needed ..kila mtu kwake na maisha yake baassss kama watoto wamekua unawalea wewe baba vizuri tu..wanawake waelewa tupo tutalea hao watoto kwa moyo wote ..
ni ngumu sana, hebu fikiria niliachwa na huyo mtoto wa miezi tisa. ili bidi niombe ruhusa kazini ili nianze kulea hawa watoto. inauma sana
Mbaya zaidi kiongozi, wakati wa purukushani hii, huyu wife alishawahi kuwakimbia hawa watoto sio chini ya mara tatu. alidiriki kuondoka nyumbani zaidi ya siku sita, hiki hasa ndo kilichonifanya nisiwaze hata mara moja kumwambia aondoke kwangu. haikua rahisi na ni mengi sana nimeyaona sijayaweka hapa. najuta kumfahamu huyu mwanamke
well hinted. and thumb up to you for being one among of wanawake waelewa.
Asante mkuu
wazee wapo na wapo tayari kuwalea hawa watoto, ila shida moja kubwa nina historia mbaya ya watoto waliowahi kulelewa na bibi yao(mama yangu) baada ya wazazi wao kufariki kwa ajari , kiukweli yalikua malezi mabovu sana kiasi kwamba hata mi wakati mwingine hua nashindwa kuelewa jinsi gani nilifanikiwa kua katika malezi mazuri mpaka nikafika hapa nilipo , ndio maana niliamua kukaa nao nawelee mwenyewe ili siku za usoni nisije juta tena kwa kile kitakachotokea, besides,i love them very much.
Pole sana, Inaonekana mwanamke amekuonea sana, mara nyingi wanandoa wanachepuka kama wametendwa kama ulishawahi kumcheat funguka na msamehe, ni ajabu sana ndani ya ndoa a date na 3 wanaume tofauti, Ushauri wangu tuliza kichwa usifanye maamuzi ya haraka, unaweza kumsamehe, unaweza kuishi bila yeye na ukalea wanaoo na unaweza pata mdada mwenye watoto na hata akileta wake pia mkawalea vizuri tu, tatizo hujatulia akili, unaumia na hina Imani naye sasa, all the best ktk maamuzi yako sahihiWanajamvi, natumaini muwazima wa Afya,
Nimeona nije kwenu walau mujue yanayonisibu, sio kitu kipya hapana, ila kimeniweka kwenye mazingira magumu sana, japo najitahidi kufanya kila linalowezekana walau upepo huu upite.
kifupi ni hivi Mama wa Watoto wangu (Mke) nimeamua kumrudisha kwao baada ya kugundua hakua mwaminifu kwangu ie niligundua anamahusiano ya Kimapenzi na Watu wengine Nje ya Ndoa, nilifanya uchunguzi wa kina nakugundua uchafu huo, baada ya mikimiki ya hapa na pale alikiri mbele ya wazazi wake kua yote niliyowaeleza ni ukweli mtupu. baada ya mashauriano ya muda mrefu nilifikia uamuzi wa yeye aondoke kwangu. hili halikua gumu sana kuamua kwa kila kitu kilikua wazi
So issue yangu kubwa ni nini nifanye baada ya hapa, ukizingatia yafuatayo:
1. tuna watoto watatu , mdogo kabisa ana miezi 9
2. hawa watoto nawapenda sana na mpaka sasa naishi nao
3.mimi mwenyewe umri umekimbia am 35 yrs now
4. mama watoto kila siku anapiga simu kuomba msamaha( japo najua kabisa jasiri haachi asili)
5. najiuliza hata kama nikitaka kuoa tena, will it be fair to my children?
6. nina watoto 3, will it suit me kuoa mwanamke ambaye hajazaa? ataweza kulea kwa upendo hawa watoto?
7.je nikioa mwanamke mwenye mtoto/watoto tayari si atataka naye awalete waishi kwangu? huu mzigo utaniua
8.je ni haki niwapeleke boarding hawa watoto ili mi niishi peke yangu?
kiukweli nipo njia panda, tafadharini yeyote anayeweza nisaidia kimawazo nitashukuru
asanteni!