Sijui nianzie wapi?


kuacha hiyo tabia ni kwa neema ya Mungu.....

kuna kisa kimoja tofauti.....huyu mama alikopa bank bila ya hata kumtaarifu mmewe....mwisho wa siku nyumba ikawa inapigwa mnada....majirani ndiyo kumtaarifu mmewe......lakini unadhani huyo mwanamke aliachia hapo kukopa bila kumtaarifu mmewe......tabia haikukoma mpaka leo mmewe yupo kaburini......so sio wote wanaojutia makosa na kuacha......
 

mkuu oa tu , siyo wanawake wote wenye roho mbaya ya kunyanyasa watoto wasio wao.
kwasasa hivi wakati unajipanga watoto wengine wapeleke kwa bibi yao(mama yako).
mkuu time is the great healer na zaidi usichanganyikiwe mambo yatajipanga tu huko mbeleni.
kumrudia huyo ni unyonge wa hali ya juu , bora usingelibumburua ukabaki nalo moyoni akajua hujui kitu.
 
Mungu wangu unamleaje m
toto wa miezi 9 jaman daaa hii tabu sasa kwani hapo nyumbani kuna dada anayekusaidieni kazi au inakuaje daaaa nimeumia kwa kweli mi nikajua yuko na mama
ilibidi nimlete dada yangu anisaidie, isingewezekana kwangu
 
angalia tu mwenyew kk mana hatakama tuxhaur kumrdxha au kutomrdxha ww ndo unajua umuhmu au maumiv ulio yapata yalikua ni kiac gan....
 

kweli mkuu
 
Fanya mengine yote utakayo, lakini usije ukamleta mwanamke mwingine nyumbani alafu umtambulishe kwa watoto. Utajuta kuzaliwa. Ukiamua kuachana naye amua usioe tena
 
Kosa tunalofanya wanaume ni kuwafukuza wake pindi tunapo tofautiana. Ushauri wangu wangu endapo umetofautiana na mwenz na unaona hamtoweza kuishi pamoja na tayari mna watoto ni bora mwanaume uondoke wewe utafute sehemu ya kujihifadhi na kutengeneza maisha huku watoto wako wakiendelea kuishi na mama yao kwenye nyumba yenu huku ukiwatembelea na kutoa msaada wa matumzo kwa watoto wako. Tatizo sisi watz tupo selfish na kwa staili hii watoto wa mtaani hawataisha katika jamii zetu ...
 

Mmhh
Hii sasa ni noma!

Usioe kwa ss, tafuta dada wa kuwalea umlipe vzr!
Huku ukiendelea kutafakari
 
ilibidi nimlete dada yangu anisaidie, isingewezekana kwangu

My God!
So sad...pole sana.

Usiwapeleke boarding ...tafuta dada wa kazi wakuwalea na ndugu 1 km yupo ....
 
Chaguo ni lako kaka... dunia ya leo upate mwanamke akulee

watoto watatu kama wa kwake ni shidaa.... Kulea mtoto asio wako ni kipaji kaka

ila kila la kheri kwenye maamuzi yako.

Ni wanawake wachache wenye mioyo hiyo..kama mimi
 
samahani mtoa mada.
je hongera kwa mbegu imara zenye kuzaa mtoto.
waweza mlaumu saaana lakini tathmini mgegendo unaompa.naje unaishi naye kwa upendo au ndo yale mtu anakupa mgegendo kama anakunywa dawa.
waweza kuwa kamgegendo kako nikajogoo style kwa sababu ya magonjwa na vingine. ukiona hivyo muandae muda mrefu saaana ukirusha mkia kidogo ameridhika.

nimejiuliza why achepuke hovyohovyo inawezekana
 
My God!
So sad...pole sana.

Usiwapeleke boarding ...tafuta dada wa kazi wakuwalea na ndugu 1 km yupo ....

Asante, nitaufanyia kazi ushauri wako.
ila swala bado lipo pale pale, baada ya hayo yote then what shall I do? should I sacrifice my happiness so that my children are happy? or should I keep on searching till god say yes? totally confused.
 
Duh changamoto zingine majanga, usikute badhi ya hao watoto ni wa nnje, au wote te wanao ni wa michepuko
 
Unaweza msamehe ila ukaamua kutoshare tendo, mkawa mnalea watoto wenu kila mtu chumba chake ila matumizi ya nyumbani hakikisha unatoa. watu waelewa wanaishi ivo ili kuwatunza watoto, japo yataka moyo

My dear??? Washishee tendo mmmhhhh kila mtu chumba chake mmmhhhhhh sina hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…