Sijui ni ujinga au uzungu mwingi

una kipaji cha kutembea kwenye majumba ya watu aisee.
 
unatafuta nini kwa watu mkuu wangu🙄
 
Kuna makabila watoto wanatendewa kama mifugo mmoja wapo ni wasukuma nahisi unatokea huko.
 
unafuata nin kwa watu tulia na mambo yako
 
Kila kitu unazila wee VIP utabaki pekee ako
 
Ukitaka haya yasikukere mkuu ni wewe kutulia nyumbani kwako! Mimi mwenyewe kwa vile sipendagi ujinga nina miaka sijakaa kwa zaidi saa 3 labda kwenye msiba! Nikija Dar ndugu wanalalamila eti siendi kuwasalimia namaliza shughuli zangu tu na kurudi! Kumbe hawajui mimi sipendi huo ujinga wa kuita watoto junior huku wanafanya ujinga!
 
ni kwamba umevimbiwa au unaumwa? Hiki ulichoandika ni kitu gani. hiyo akili yako imejaa uchafu
 
Kabla hatujaendelea Kaoshi ndio kitu gani?!
 
nyumbani kwangu nipo na boxer mda wote njee ukipiga chapo kutokea inje ya fensi shauri yako...kama mgeni kaja ntabaki kifua wazi na suruali chini mazoea tu maana hata mshua wangu ndani ni taulo na pensi toka tunakuwa tunamwona hivyo akiwa ndani..
 
Hizo familia ndizo zinazolea mashoga
 
Watu mnataka kulea watoto kama misukule.
 
Nimesoma huu uzi nikakuta pumba tupu nimezila  naondoka
 
Utakuta apo Baba enzi zake za utoto nae alikua Wa kishua Kila kitu house girl anamfanyia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…