sijui ni nin kimetokea

duh ndio nachotaka kujua nini sababu kama kuna kitu anakosa aniambie ni nini ili kama kiko ndani ya uwezo wangu kukifanya au kutekeleza basi nifanye

sasa mwenzio anashindwa au amekuchoka sasa anashindwa asemeje ila kikweli usilazimishe mapenzi kabisa.....kama unaweza just chilll uone mwisho wake ni nini? iila usilazimishe kabisa kukubaliana na wewe.........
 
ama kwahakika hili balaa,leo tangu asbui nasoma stori za mapenzi,kuanzia wanandoa wanavyotifuana,na wachumba wanavyotifuana,
hata saa haijapita Tembosa katoka hapa,
mdau pole sana,
kila jambo linalotokea lina sababu,Let it Go babuuu,ww kijana pambana,utapata mwingine,
Hii hali ilianza ijumaa, na inafika kikomo leo jua litakapotua.
 
vipi umeinvest vya kutosha kwake....?

sio sana mkuu ....ila unajua unapokuwa katika age kama hii si vibaya ku select mmoja ambaye una expect anaweza akakunyang'anya jina sasa huyu ndio nilikuwa namuona anaweza kuwa ....sasa nashangaa ye ndio wa kupeperuka hivi
 
Hahahahahah lol! Kwanza inabidi nihakiki kama kweli zipo intact kwi kwi kwi kwi :):) halafu siyo za mchina na nikisha hakiki kwamba ni authentic unipe tips namna ya kuzilinda lol!!!! muhimu kuhakiki kila baada ya masaa machache kwamba bado zipo sasa hiyo namna ya kuhakiki kwamba bado zipo ndio jasho litakutoka lol!!!!



HAHAHAAA morning BAK...........nitahitaji uwe mlinzi wangu LOL
 
Last edited by a moderator:
ni msichana niliyekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu bila tabu yoyote na yani tulikuwa kwenye furaha jana tu tukala na kucheka pamoja sasa eti leo kaamka tu asubuh anasema anitaki...nikimuuliza sababu ni nini ananiambia kaamua tu jamani kuna nini hapa

kiki kiki kimenuka!pole huyo alikuwa anafanya ana ana doo sasa bahati haijakudondokea
 
sio sana mkuu ....ila unajua unapokuwa katika age kama hii si vibaya ku select mmoja ambaye una expect anaweza akakunyang'anya jina sasa huyu ndio nilikuwa namuona anaweza kuwa ....sasa nashangaa ye ndio wa kupeperuka hivi
hebu tulia kaka, haya ni maisha haya mapenzi yapo kila siku, usije kujidhulu bure, na watu tukakucheka, si wajua tulivyo....?!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom