sijui ni nin kimetokea

sijui ni nin kimetokea

mweeeee.....chezeiya wasanii wewe.....anakuja kwa wazazi.......barua analeta.........atakapochomokea sasa.......hata unyayo hutauona.......bora tuendelee kisanii sanii hivi hivi kila mmoja..........

Halafu bikra ya Heaven on Earth aliinunua wapi nimpe Mshinga maana yeye aliuziwa feki
 
Last edited by a moderator:
Kama huja wekeza, basi lala mbele hakuna mapenzi tena hapo, watoto wengi wa mjini washenzi washenzi
 
tushayamaliza anaangalia series huku anakunywa wine na mie nachat huku napata redbull sikilizia mziki wake baadae

Sista sasa akilewa si ataweza tena bwana utaniangusha bwana ... panda kitandani bwana alafua aje....
 
ni msichana niliyekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu bila tabu yoyote na yani tulikuwa kwenye furaha jana tu tukala na kucheka pamoja sasa eti leo kaamka tu asubuh anasema anitaki...nikimuuliza sababu ni nini ananiambia kaamua tu jamani kuna nini hapa

Jema kwa viumbe hawa ni lipi
 
Tatizo mlikula tu na kucheka. Kwani kwao alikuwa hali na wala hacheki?
 
Back
Top Bottom