sijui ni nin kimetokea

tushayamaliza anaangalia series huku anakunywa wine na mie nachat huku napata redbull sikilizia mziki wake baadae

We mbayaaa!!!
Nafikiria product ya combined effect ya hivyo viwili
 
Tatizo mlikula tu na kucheka. Kwani kwao alikuwa hali na wala hacheki?

kwani we ni mtot kiasi gani kushindwa kuelewa kwamba na game alitoa ...ivi mkisha kula mkashiba kisha mkaanza kucheka kucheka unafikiri nini kitatokea ....kusoma huwezi hata picha ?
 
sasa thehunk umechukua uamuzi gani kwa huyo hawara yako ....?

nachojaribu ni kuomba kuonana na kuongea japo aniambie sababu tu basi ila hataki toa hiyo chance ya kuzungumza.....nahisi kadhamilia kuachana na mimi
 
Tembosa embu njoo tumsaidie mdau huku............ may be kuna kitu kagundua anakosa kwako na kwa wengine anapata kama yupo tayar kuzunngumza mpe nafasi afanye hivyo..... na usilazimishe kitu sawa..... pole mkuu

duh ndio nachotaka kujua nini sababu kama kuna kitu anakosa aniambie ni nini ili kama kiko ndani ya uwezo wangu kukifanya au kutekeleza basi nifanye
 
Wasichana wa sasa sijui wakoje. huyu atakuwa alikuwa na wawili sasa kachagua anayemtaka. kwa kuwa yeye ndio kaamua muache achape lapa haikuwa ridhiki yako. usilazimishe mapenzi kuna magojwa

hear you louder and clear
 
Jema kwa viumbe hawa ni lipi

mkuu sio siri kama ni kweli anamaaanisha hiki anachokiongea yani tumeachana moja kwa moja atakuwa kanibadilisha attitude kabisa juu ya hawa viumbe yani ntaingiwa nyongo kabisa kwenye mapenzi
 
nachojaribu ni kuomba kuonana na kuongea japo aniambie sababu tu basi ila hataki toa hiyo chance ya kuzungumza.....nahisi kadhamilia kuachana na mimi
vipi umeinvest vya kutosha kwake....?
 
ni msichana niliyekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu bila tabu yoyote na yani tulikuwa kwenye furaha jana tu tukala na kucheka pamoja sasa eti leo kaamka tu asubuh anasema anitaki...nikimuuliza sababu ni nini ananiambia kaamua tu jamani kuna nini hapa

usinikumbushe ya blandina..
 
kwani we ni mtot kiasi gani kushindwa kuelewa kwamba na game alitoa ...ivi mkisha kula mkashiba kisha mkaanza kucheka kucheka unafikiri nini kitatokea ....kusoma huwezi hata picha ?
So pamoja na u hunk wote hutakikani?pole.una hasira ki noma nomaaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom