Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,913
- 70,667
Niko kawaida tu sema mi sio mpenda kujiremba,, ndo maana nimeangukia kwenye raha yako hiyoWow! Am grad to hear that!
Sipati picha mvuto ulio nao.
Niko kawaida tu sema mi sio mpenda kujiremba,, ndo maana nimeangukia kwenye raha yako hiyoWow! Am grad to hear that!
Sipati picha mvuto ulio nao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake mnawachanganya. Mmehama kwenye makalio,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmehamia kwenye nyusi [emoji2]
kwahiyo unapenda nyusi natural zimejaa kama kichaka cha wanyang'anyi
We unaloTuko ila kila mtu anachake,mie tako ndio kila kitu....ambae hana hilo kwa kweli hata mkono simpi.
Yaani niko tayari kumvumilia mwanamke mchafu ili mradi tu hachongi nyusi.
Unatupa matumaini etMwanamke mwenye nyusi nyingi ni dhahabu
Huo ndio UKWELI, sasa Mwanamke ananyoa nyusi awe jini auunatupa matumaini et
Unafaa Kwa Mleta Uzi[emoji23]Niko hapa mkuu sijui hata kutinda nyusi,,, na ninazo za kutosha
😂😂😂Unafaa Kwa Mleta Uzi[emoji23]
Si mwanamke kujiremba jaman ni aina moja wapo ya urembo et.Huo ndio UKWELI, sasa Mwanamke ananyoa nyusi awe jini au