Wakuu Salaam
Kama kawaida ya kuanza darasa la semina kila mmoja hupata furusa ya kujitambulisha, ilikuwa semina mchanganyiko kaanza wa kwanza:
1. Mimi (Jina) ni mfanyakizi wa bandari kitengo cha ukaguzi
2. Mimi (Jina) mwanafunzi wa chuo mwaka wa nne kitivo cha sayansi ya tiba
3. Mimi (Jina) mfanyakazi wa Tanesco mwaka wa saba nasoma mita
Jamaa mmoja akauuliza wewe wa Tanesco utagraduate lini?