Kwani wewe una tumbo ?
Furaha tele kwenuTumefikiwa😂
Basi wanaume wote tunazoKawaida tu...mi mwenyewe navutiwa na ndevu
Mbona seat za dirishani hakuna?Wale tunaopenda vimbaombao Ila wakivaa
Skirts inachora 3 yani kashape kidogo
Wezere kidogo
Seat yetu iko hapa 🪑🪑🪑🪑🪑🪑[emoji3464]
Muongeze bidii ya kula sasa! Siku hizi matumbo makubwa ndiyo ugonjwa wetu.Tumefikiwa😂
Hizi ni juhudi za Mama, anaupiga mwingii.Kwa kweli na inatia moyo[emoji3]
NdyUpara wa kunyoa nywele kichwani ?
Matumbo hoyee