Sijui ni course gani hii

Sijui ni course gani hii

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
3,996
Reaction score
5,195
Kwa wanaojua rangi za majoho huwa tofauti kulingana na course husika wadau hapo watasaidia, na pia ukiangalia hiyo Nguo kwa maadili ya msomi sidhani kama ni sahihi.
IMG-20191122-WA0004.jpeg
 
Huu ndo unaitwa ushambenga!! Hilo si duka la viatu huenda na nguo zipo anatest tu huyo...
 
Anatest nini joho au nguo, maana majoho hayauzwi km njugu,na kama ni Nguo hiyo sio
Huu ndo unaitwa ushambenga!! Hilo si duka la viatu huenda na nguo zipo anatest tu huyo...
 
Anatest nini joho au nguo, maana majoho hayauzwi km njugu,na kama ni Nguo hiyo sio
ndugu pambana na Hali yako kila mmoja anaishi vile utashi wake ulivyo Kama hakufunzwa dunia itamfunza Tena kwa maumivu makali!! Kila unaemuona ana kichwa jua anaakili ya kufanya maamuzi na ni yeye ndie atakae husika na matokeo ya maamuzi hayo.
 
Back
Top Bottom