umetusingizia, kabisaaaaa
Duh hii list ni genuine kweli tena kwa kukazia JF. Shauri yenu mtatolewa nduki msichakachue uziUmeona eeh! Kama kuna mchakachuaji wa threads mzuri JF basi Fixed Point anaongoza, akifuatiwa na dogo lake snowhite wa tatu ni Ablessed kwi kwi kwi lol!
yaani hata kwenye 50,000 bora sipoMay be, may be not...Chagua namba unayostahili kuchukua kama mchakachuaji hapa jamvini 🙂🙂
Kwa sababu ni dawa nawe wataka kupona basi huna budi kuitumia. Sasa sijui utapaka wa rangi ya brown au black manake mimi mwenyewe hii makitu siyajui vizuri. Pia unapaswa kujua unaupaka wakati gani asubui ukiamka mara baada ya kuoga au saa ya kulalaha haaa, kipaji hicho ntakipata wapi twin?
hivi unajua nikijiweka makeup naona noma sana? yaani hata kutoka inakuwaga soo..... wanja wa hivyo ntaweza?
ila ukweli kapendeza sana
kweli kapendeza sana, ila mimi hapana, hivi hivi nilivyo inatosha
Hapo hajatutendea haki kabisaaaa ametuonea kiukweliumetusingizia, kabisaaaaa
Hahahahahahahaha haya chagua namba Fixed Point mimi namba yangu ni 148168 ya uchakachuaji sasa uone jinsi nilivyo wa mwisho.
May be, may be not...Chagua namba unayostahili kuchukua kama mchakachuaji hapa jamvini 🙂🙂
Hahahahahahahaha haya chagua namba Fixed Point mimi namba yangu ni 148168 ya uchakachuaji sasa uone jinsi nilivyo wa mwisho.
Hahahahahaaaaalol!...una akili sana weye!!!!
kaniambia wanja wa kiarabu...Kwa sababu ni dawa nawe wataka kupona basi huna budi kuitumia. Sasa sijui utapaka wa rangi ya brown au black manake mimi mwenyewe hii makitu siyajui vizuri. Pia unapaswa kujua unaupaka wakati gani asubui ukiamka mara baada ya kuoga au saa ya kulala
mimi nipo naturale...... najipenda hivi hivi bila ya kuongeza vipodoziHiyo toto imetulia sana aisee hiyo hubakizi hata mfupa , unasema hivyo ulivyo inatosha kwani wewe uko vp madam?
ha haaaa, mi naona nitakuwa nyuma yako, maana wewe umenizidi kwa kuchakachuaHahahahahahahaha haya chagua namba Fixed Point mimi namba yangu ni 148168 ya uchakachuaji sasa uone jinsi nilivyo wa mwisho.
Ina maana wewe ni wa 148169 kama ni hivyo basi sisi hatumo kabisa ktk list ya uchakachuaji yaani 3 bora hatumo, hata 10 bora nayo no .ha haaaa, mi naona nitakuwa nyuma yako, maana wewe umenizidi kwa kuchakachua
Hee usiku tena si utatisha enewei ndio masharti ya udawa huna jinsikaniambia wanja wa kiarabu...
nipake usiku ninapotaka kulala
mimi nipo naturale...... najipenda hivi hivi bila ya kuongeza vipodozi