Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Bibie Lady doctor Kwa Mwanamke akipakaa wanja inamfanya huyo Mwanamke apendeze mbele ya macho ya wanaume unakuwa unavutia mbele ya wanaume kimapenzi wanaume wanakuwa wanakutamani. Angalia bibie huyu alivyopendeza Mashallah Mzuri sana huyu bibie.............:A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S-rose: Mwanamke wanja na kujipamba .............................................ningependa kujua faida nyingine mbali na hiyo MziziMkavu
mimi na mdogo wangu damu damuHeeeh umemtafuta kivipi madam kishari au kheri funguka basi
ha haaa, asante kwa debe..... kama kwenye sinema vile, lol!🙂🙂🙂 Mie na KURIA mbali mbali pamoja na hayo bado lazima nikupigie debe kwa uwezo wako mkubwa wa kufanya hivyo kwi kwi kwi kwi
kweli kapendeza sana, ila mimi hapana, hivi hivi nilivyo inatoshaBibie Lady doctor Kwa Mwanamke akipakaa wanja inamfanya huyo Mwanamke apendeze mbele ya macho ya wanaume unakuwa unavutia mbele ya wanaume kimapenzi wanaume wanakuwa wanakutamani. Angalia bibie huyu alivyopendeza Mashallah Mzuri sana huyu bibie.............:A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S-rose: Mwanamke wanja na kujipamba .............................................
ha haaa, asante kwa debe..... kama kwenye sinema vile, lol!
ha haaa, you never know rafikiKwi kwi kwi kwi kwi lol!!!! Ni mara moja tu na haitatokea tena lol!!!!
ha haaa, you never know rafiki
hapo sijaelewa, lol!That is very true, but I assure you that won't happen again...Kulala muhimu banaaaaa!!! 🙂🙂
hapo sijaelewa, lol!
Got you, thanx......Si rahisi kulala kwa masaa mawili au matatu kwa siku mbili mfululizo kisha kutaka kukesha na siku ya tatu bila kuwepo repercussion.
Got you, thanx......
nitapumzika kesho, lol!
ha haaa, kweli kuchakacua uzi ni kubaya.....Mhhhhh! Haya banaaaa 🙂🙂...mie nilikuwa nazungumzia ile incident ya kuuchapa kwenye movie theater.
ha haaa, kweli kuchakacua uzi ni kubaya.....
mi nilidhani unazungumzia kuhusu kuwashwa kwa macho ndo unanishauri nipumzike, lol!
samahani kwa hilo rafiki
Duh umechakachua mwenyewe hadi unajiingiza chakaha haaa, kweli kuchakacua uzi ni kubaya.....
mi nilidhani unazungumzia kuhusu kuwashwa kwa macho ndo unanishauri nipumzike, lol!
samahani kwa hilo rafiki
ha haaa, si ndo hapo sasa! nimeonaje noma!Duh umechakachua mwenyewe hadi unajiingiza chaka
Duh umechakachua mwenyewe hadi unajiingiza chaka
Hahahaha kawaida huwa inatokeaha haaa, si ndo hapo sasa! nimeonaje noma!
umetusingizia, kabisaaaaaUmeona eeh! Kama kuna mchakachuaji wa threads mzuri JF basi Fixed Point anaongoza, akifuatiwa na dogo lake snowhite wa tatu ni Ablessed kwi kwi kwi lol!
ha haaa, kipaji hicho ntakipata wapi twin?Nakusubiri Twin Fixed Point upake wanja kinamna hii