ha haaaa, kweli huyu ndo mzizimkavu, lol!
nimecheka mno. haya ngoja nikatafute asali, lol!
Miti shamba gani hiyo?
afadhali umenisaidia kuuliza, maana!
kumbeeeee, ha haaa. sina muwasho zaidi ya wa macho
Hahahahahahahaha wewe acha tuha haaa, kulia nako ni kasheshe nyingine, lol! pole
Yanatoa machozi na machoz yenyewe yanachoma chomaha haaa, ila sasa kujikuna nako ni kasheshe, maana unatamani hadi kulia, basi tu
ha haaa, ila papuchi nayo kuipaka makitu :nono:hahahahaha lol! asali hii inakaa chumbani na si jikoni lol!!!
kama kukamilika ndo huku aisee sijakamilika kabisaaaaaMmmmmmmmmmmh! Labda kama si mwanamke uliyekamilika....nijuavyo mimi waweza kuwa na miwasho ya macho ukatibu kwa dawa inaitwa "mizinzi" kifipa ila miwasho mingine dawa yake inafahamika ni maarufu sana jukwaa la mapenzi kwa kukusaidia tu i.e mabeberu au vijogoo au toes el tel
mimi yangu hayatoi machozi hata, makavu tuYanatoa machozi na machoz yenyewe yanachoma choma
Mmmh twin Fixed Point movie yenye mitutu namna hiyo unaweza kuiwatch kweli. Naona BAK anataka kukufundisha mbinu za kujihami wanapokuja wale wanaoitwa siku hizi "wapigwe tu tumechoka" uweze kupambana nao.Utaipenda usiwe na wasiwasi pamoja na kuwemo bunduki.
ha haaa, ila papuchi nayo kuipaka makitu :nono:
kama kukamilika ndo huku aisee sijakamilika kabisaaaaa
Hapa leo lazima upone naona mlolongo wa dawa unazoonyeshwa siamini kama zote zitafail. Hongera MziziMkavu kwa kumuonyesha dawa my twin bila kuwasahau wengine wote na BAK a.k.a life saverkama kukamilika ndo huku aisee sijakamilika kabisaaaaa
Mmmh twin Fixed Point movie yenye mitutu namna hiyo unaweza kuiwatch kweli. Naona BAK anataka kukufundisha mbinu za kujihami wanapokuja wale wanaoitwa siku hizi "wapigwe tu tumechoka" uweze kupambana nao.
Mmmh twin Fixed Point movie yenye mitutu namna hiyo unaweza kuiwatch kweli. Naona BAK anataka kukufundisha mbinu za kujihami wanapokuja wale wanaoitwa siku hizi "wapigwe tu tumechoka" uweze kupambana nao.
ha haaa, shem ana kazi ya ziadaHahahahahahahaha wewe acha tu
labda niende tena mdogo wangu maana nilishaendaga na sikupona
Hahahahaha anapigwa konzi na kuamriwa kukaa kimya lol.Ha ha ha ! watu wakidhani ile wapigwe tu inawahusu wale walioshinda 4-0 kumbe hata dini-ponda na mpenzi akilet za kuleta anaoewa na kozi kwi kwi kwi
Hapa leo lazima upone naona mlolongo wa dawa unazoonyeshwa siamini kama zote zitafail. Hongera MziziMkavu kwa kumuonyesha dawa my twin bila kuwasahau wengine wote na BAK a.k.a life saver
Hapana hana kazi yeye huwa simlilii kabisa. Unajua inatokea unaweza kwenda ofic flani ukahitaji huduma na nikiona nazungushwa kwa kuonewa basi hapo machozi lazima yanitoke tu hata kama nacheka siwezi kujibizana. Kuna siku nilienda muhimbili nilikua na mgonjwa basi dr kanizunguusha kwa kweli humo njiani wakati narudi machoji yalitoka. Mpaka huwa naiambia nafsi kwamba sasa basi lkn......ha haaa, shem ana kazi ya ziada
Hahahahaha anapigwa konzi na kuamriwa kukaa kimya lol.
Hahahahahahahahahaha na hivi anaangalia movie za mabunduki itabidi nitafute pa kujificha, nilijua wameanza kulisahau hili ulishabatizwa nalo la kwako tu hata ufanyeje Fixed Point usikasirike nauchakachua uzi wako kwa kumbusha BAK jina lake alilopewa siku ileee kama unakumbuka.Hahahaha lol! Ukisikia uchokozi ndio huo wa kulirudisha jina langu jipya jamvini wakati limeshaanza kusahaulika lol! Pacha wako atalalamika sasa hivi kwamba unachakachua uzi wake wa kuwashwa na macho. ππ