Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #61
ha haaa, nakuwa tempted kujikubali ila inakera sana wakati mwingine pachaBora ujikubali haiwezekani na ujana au uzee huo leo igeuke kua ugonjwa. Zipo hali hatuzipendi lkn hatuna control nazo
ha haa, pole rafiki...Hahahahahah lol! Mie huwa sikoromi banaaa ππ nikilala kimyaaaa hata sauti ya fan ni kubwa sana...Walinicharura kwa sababu walijitahidi kuniamsha bila mafanikio na hawajawahi kuniona nauchapa kwenye movie hata tukiingia za saa nne za usiku....Chezeya siku mbili za kulala masaa machache weye!!!!... Movie hii hapa rafiki itafute ukaione, mie lazima niione tena safari hii na macho maangavu tangu mwanzo hadi mwisho ππ
ha haa, pole rafiki...
nitaitafuta hiyo nami nikai-watch..... nimependa the fact kwamba kaact Denzel ila hayo mambo ya guns sijui nitapenda?
nina watoto wa3, wajukuu bado sijabahatikaBibie Fixed Point umeshazaa watoto? unao wajukuu bibie? ninakushauri jaribu kila unapolala jipake wanja kila siku fanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha uje unipe feedback.
eti mimi nikakutaja na wewe? au ulishaachia ngazi best?Umewasahau Kongosho Zahra White na nani vile
Si bora wewe kulala mwenzio kulia si aibu hiyo .ha haaa, nakuwa tempted kujikubali ila inakera sana wakati mwingine pacha
kama unanihakikishia basi nitaenda kuiangalia..... sijawahi kuwa disappointed na movies ulizonipendekezeaUtaipenda usiwe na wasiwasi pamoja na kuwemo bunduki.
ha haaa, kulia nako ni kasheshe nyingine, lol! poleSi bora wewe kulala mwenzio kulia si aibu hiyo .
kama unanihakikishia basi nitaenda kuiangalia..... sijawahi kuwa disappointed na movies ulizonipendekezea
Bibie Fixed Point Hata kupaka wanja hujuwi hahahahah paka kwenye sehemu zinazo washa pata wanja manga ule wanaopenda kupaka waarabu waulize waarabu wataweza kukupatia wanja ni dawa nzuri kwa matatizo ya macho. pole sana bibie ningekuwa karibu ningelikupaka wanja.nina watoto wa3, wajukuu bado sijabahatika
ha haaa, afadhali leo ushauri wako umekuwa siyo ule wa ......
itabidi nikatafute huo wanja maana mimi siyo muumini wa urembo.
nitajaribu kuanzia kesho /kesho kutwa siku nitakayopata huo wanja then nitakuwambia baada ya siku 3, sasa huo wanja napaka wapi? ndani ya jicho au huku juu kwenye eyebrows au wapi?
Bibie Fixed Point umeshazaa watoto? unao wajukuu bibie? ninakushauri jaribu kila unapolala jipake wanja kila siku fanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha uje unipe feedback.
ha haaa, kweli rafiki, ringa tu kwa raha zako, lol!Najidaije sasa rafiki!? Stamp of approval....THANK YOU!!!! ππ
Urembo ni kipaji ujue MziziMkavu..... kuna wengine hatujajaliwa hicho kipaji, ni mwendo wa naturale tu.Bibie Fixed Point Hata kupaka wanja hujuwi hahahahah paka kwenye sehemu zinazo washa pata wanja manga ule wanaopenda kupaka waarabu waulize waarabu wataweza kukupatia wanja ni dawa nzuri kwa matatizo ya macho. pole sana bibie ningekuwa karibu ningelikupaka wanja.
ha haaa, rafiki na wewe......Wanja huu unapakwa wapi!? Isije kuwa kwenye nanihii maana wewe MziziMkavu nimekuvumilia kofia ππ...Najaribu kupiga picha kumuona rafiki yangu yuko busy kupaka wanja kunako ili apande kitandani hahahahahah lol!
ha haaa, haya ngoja akuje mdogo wangu aniambie, lol!
Mkuu BAK Wanja anapaka kwenye nyusi za macho. Asali unapaka kwenye utupu wako wewe dume kisha ndio unamuingilia mwanamke atajisikia raha ya ajabu. Au Mwanamke anaweza kujipaka asali kwenye papuchi yake kisha wewe dume ukimuingilia huyo mwanamke hutataka tena mwanamke mwengine anakuwa kama amekuroga kimapenzi.Wanja huu unapakwa wapi!? Isije kuwa kwenye nanihii maana wewe MziziMkavu nimekuvumilia kofia ππ...Najaribu kupiga picha kumuona rafiki yangu yuko busy kupaka wanja kunako ili apande kitandani hahahahahah lol!
Mkuu BAK Wanja anapaka kwenye nyusi za macho. Asali unapaka kwenye utupu wako wewe dume kisha ndio unamuingilia mwanamke atajisikia raha ya ajabu. Au Mwanamke anaweza kujipaka asali kwenye papuchi yake kisha wewe dume ukimuingilia huyo mwanamke hutataka tena mwanamke mwengine anakuwa kama amekuroga kimapenzi.
Mkuu BAK Wanja anapaka kwenye nyusi za macho. Asali unapaka kwenye utupu wako wewe dume kisha ndio unamuingilia mwanamke atajisikia raha ya ajabu. Au Mwanamke anaweza kujipaka asali kwenye papuchi yake kisha wewe dume ukimuingilia huyo mwanamke hutataka tena mwanamke mwengine anakuwa kama amekuroga kimapenzi.
ha haaaa, kweli huyu ndo mzizimkavu, lol!Hahahahahaha lol! Utamu unapakwa utamu!!! ππ Where is Nyamayao AKA Mama asali when you need her lol!!!!