Huu uzi ulinipitaje?
snowhite, Ablessed, chikutentema na rafiki yenu BAK ntawatimua kwenye uzi wangu....
mkafanye madiskasheni yenu kwenye uzi mwingine, sawa?
kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
mnasonyaje kimya kimya!
hujambo lakini mwanafunzi wangu!?umesahau tulikuwa fyatanga wote
Cheza na mamlaka yakikolea...kila kitu ni smpoHahahahahahah mkuu umenichekesha yaani apigwe tu snowhite lol . Hapana kama itakua hivyo basi bora aache asiandamane kisa cha kutolewa meno ya mbele
umesahau tulikuwa fyatanga wote
Hahahahahahahaha snowhite anatishaaaaaaaaaaaaaaaa. Halafu nimemvulia kofia kwa maigizo anafanana na mama G
Sio masihara ooooo, ni ukweli oooooahahahhhahhahhaahaaha!
we na twin wako mnataka kunifanyia masikhara mimi!ala!
hv kwani mchana uliamka saa ngapi?
hv kwani mchana uliamka saa ngapi?
mbona huna usingiz mpka saa hz!
Dozi dozi,,,ujue,hebu nsaidie apo juu basi HW ngumu hii
kwanza muamkie mwalimu kwa adabu zote itifaki na heshima ifate mkondo wake!
tatizo lako unaamini akili ulizokuwa nazo ukiwa form six PCM ndo zipo mpaka sa hz!
ehehehhehe sio kila MAGAZIJUTO ni mabano zidisha jumlisha toa!
zingine ni inabidi ujumlishe na kutoa tu basi!
Huwa sina kawaida ya kufundisha kwa lugha nyepesi!
Huwa sina kawaida ya kufundisha kwa lugha nyepesi!
ila wanafunzi wote wasinielewe hata wewe!\
vya kuelewa vipo vingi humu!ila hapo kwenye post ya mwisho uliniquote anbgalia usioende chaka!
ehehehhe kwa kuwa ni wewe mwanafunzi wangu mtiifu toka enzi na enzi ngoja nikurahisishie tu!
huko juu teacher alikuwa bwaks!akawa mwalimu wa zamu kidogo af hapo chini nikastuka kuwa mwanafunzi wangu anaamini ana ubavu ule ule wa dozi za uform six leaver !ahahhahahha hata simba mzee husubiri awindiwe aletewe!
we bado unaapply mibio tu!
ehehhehe lazima ulale mchana ase!
wahi mnazi mmoja upate tiba
ahahahhahahah haka kaneno kamwisho mekamithi mimi!\
i mithi pia ile mineno ya kiyunani tunaelewa wenyewe!
ahahahaha Asprin bana ana safari ya mjengoni siku si nying!kaa nae chemba akakwambie uzur!i
kuhusu Fixed Point na Dark City kazi ilishaisha siku nying!\
af Kongosho anataka kuanzisha chuo kikuu amekwambia!?
sasa yupo busy kuandika pepa!
case study babu DC!