Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #181
mmmhhhh! mimi hayo siyajui..... mimi nimejikuta tu napenda unaturaleAagh!!! sasa kwani mwanamke anayejidecorate nae ni wa kuoa.....hao wakuuza nao sura tu na siku zote huishia kuzaa nyumbani maana wao usista dad mbele badala ya maisha but vitu natural bwana eeh vyovyote awavyo ndiye mama wa kuweka ndani(fahari) ya nyumba save only bad behaviour.
Umeona eeh! Kama kuna mchakachuaji wa threads mzuri JF basi Fixed Point anaongoza, akifuatiwa na dogo lake snowhite wa tatu ni Ablessed kwi kwi kwi lol!
Hahahahahahahahaha mwaya hata siujui manake njawahi pakamo wanja nakumbuka mara ya mwisho nilikua nasimamia harusi flani hata sijui mwaka gani tu. Hivi upogo wanja wa kunguhv Ablessed ule wanja wa kungu kwani ulipakamo juzi!
vimacho viliitamo mwali mweh!
Itabidi ufanye maandamano thijui kama utapewa kibali
Hahahahahahahahaha mwaya hata siujui manake njawahi pakamo wanja nakumbuka mara ya mwisho nilikua nasimamia harusi flani hata sijui mwaka gani tu. Hivi upogo wanja wa kungu
Itabidi ufanye maandamano thijui kama utapewa kibali
Tena nitashukuru ukinipa hiyo tuition na tukimaliza ya wanja tuje ya vipodozi mwayaahahahahahhahahahha hicho kweny bold kama sio kinyamwezi basi ni kisukuma cha ndaniiiiiii
yani huujui huu wanja wa kungu!?
we kweli ni twinie wa dada kubwa langu!
yani walahi itabidi niwape twisheni!mi nimechoka bana!
sasa kama wanja wa kungu hamuujui mnajua nini mjhini hapa
mascara je?
obagi?
singo?
ah mnaniuziga mimi!
si ajabu nikiwapa kadi ya kitchen party mtaenda dukani kununua vitenge vile vya peace tatu !
Hapo lazima uandamane haiwezekani kabisa.nna mpango wa kuitisha press conference kuhakikisha hili haliendelei zaidi ya hapa!
haiwezkani Fixed Point awe anachukua pwenti zote,za nyumri,za upole,za heshima,za adabu,za kuwa msikivu,za ubishi,za umama wa busara!
af mi ndo kila siku niwe the black sheep!AHAHAHAHAHHAHAH nope nope BAK nakudai!
sikubali!
NATANGAZA KUTOKUWA NA IMANI NA WEW!until further notice
Hapo lazima uandamane haiwezekani kabisa.
mmmhhhh! mimi hayo siyajui..... mimi nimejikuta tu napenda unaturale
Itabidi ufanye maandamano thijui kama utapewa kibali
Mmmh ndio maana jana nimeona mabunduki kama ni hivyo namie naanza kuogopa lol. Kama BAK ana undugu na hawa wanaoitwa "wapige tu tumechoka" anatishatena ngoja nitafute maji kabisa !
manake BAK ana kaundugu na polisi!
hawachelewi kunivurumishia mambomu ya machozi
speaking of mabomu ya machozi hv wapi napata sun gugoz za ukweeenh!
nataka kwenda kumrusha roho mtu!
duh hapo imekula kwako labda ujaribu kkooootena ngoja nitafute maji kabisa !
manake BAK ana kaundugu na polisi!
hawachelewi kunivurumishia mambomu ya machozi
speaking of mabomu ya machozi hv wapi napata sun gugoz za ukweeenh!
nataka kwenda kumrusha roho mtu!
Hahahahahahah mkuu umenichekesha yaani apigwe tu snowhite lol . Hapana kama itakua hivyo basi bora aache asiandamane kisa cha kutolewa meno ya mbeleukiandamana utapigwa tu na mimi nasema upigwe tu tumechoka sisi.....kwi kwi
Sijui kama ipogo lol bora uache kuandamana manake hawa wakishindwa kukutoa ya sebuleni basi utachezea vilungu vya kwenye joints. Ni bora ukam-befriend BAK ili kama wakianza kukupiga utaje jina lake na ukiona wanalishangaa jina waambie unamaanisha a.k.a life saverntavaa helmet ya kwenye meno!
hv uwa iwepogi?
tena ngoja nitafute maji kabisa !
manake BAK ana kaundugu na polisi!hawachelewi kunivurumishia mambomu ya machozi
speaking of mabomu ya machozi hv wapi napata sun gugoz za ukweeenh!
nataka kwenda kumrusha roho mtu!
lol! siwapendi hao jamaa ile mbaya...Siku zote huwaona ni maadui zangu.