Sijui ndo uzee....

Fixed Point

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2009
Posts
11,304
Reaction score
12,753
huwa nasikiaga watu wanapozeeka wanarudia tabia za utoto, sijui kuna ukweli kwa kiasi gani....
Ila mwenzenu (sikumbuki kama kuna kipindi niliwahi kuliacha hili) ninapokuwa na usingizi macho yananiwasha sana, kama vile wafanyavyo watoto wachanga.
yaani kwa jinsi yanavyowasha, ningekuwa mtoto ningekuwa nalia, just like watoto wanavyoliaga wanaposhikwa na usingizi.....
nakumbuka wakati nipo boarding school wenzangu walikuwa wananicheka sana ninaposhikwa na usingizi,,,,, walikuwa wananitania kababy......
Ukweli sielewi hii inasababishwa na nini.... mbona wenzangu hayawapati haya?
mtani wangu watu8, kuna chembe ya maswala ya kiafya kuhusu hili?
naomba niwaulize pia measkron, King'asti, Dr. Riwa na matabibu wengine
hata ushauri wa kimitishamba wa MziziMkavu unahitajika
hata wengine ambao siyo matabibu naomba michango yenu kuhusu hili
 
Last edited by a moderator:
Mmh...best yaani nashindwa nicheke ama nifanyeje. Mie usingizi unanitesa haswaa na naelewa unaposema unataka kulia.

Mie nikiwa shule, nikiwa na usingizi nilikuwa natoka darasani kama naenda toilet. Naenda kulala. Usingizi wangu naupenda balaa. Na mie huwa nawashwa macho, natamani kulia na naskia kizunguzungu kabisaa. nahakikisha tu kuwa kama nna mkutano muhimu, the day before nalala mapema.

Kuna siku niliingia movie na rafiki, it was boring na nikajikuta nasinzia!
 
ha haaa kumbe tupo wengi best, basi itabidi nione kuwa ni kawaida,
maana sijawahi kutana na mtu wa design yangu nikajua labda mimi ni abnormal....
mimi napenda mno kulala, ingawa sipati sana muda wa kulala kihivyo ila nikiwa mapumzikoni naani napenda nilale mchana na usiku.
hili la kuwasha macho ndo linanitesaga sana, na hayavumiliki basi nayasugua siyo mchezo
 
wakati wa kukua siyo kila kitu kinabadilika!! vingine huwa static tu..
kama hicho chako..
ha haaa, yaani nimekua kila kitu yamebaki macho tu.....
hii kiboko.
kwa hiyo nivumilie tu, kwamba ndo hali yangu hiyo?
 
Reactions: BAK
Fixed Point, you might be suffering from Insomnia.
Insomnia is the inability to get the amount of sleep you need to wake up feeling rested and refreshed, is the most common sleep complaint. Insomnia is often a symptom of another problem, such as stress, anxiety, depression, or an underlying health condition. It can also be caused by lifestyle choices, including the medications you take, lack of exercise, jet lag, or even the amount of coffee you drink.

Common signs and symptoms of insomnia include:
Insomnia takes a toll on your energy, mood, and ability to function during the day. But you don't have to put up with insomnia. Simple changes to your lifestyle and daily habits can end sleepless nights.


  • Difficulty falling asleep at night or getting back to sleep after waking during the night
  • Waking up frequently during the night
  • Your sleep feels light, fragmented, or exhausting
  • You need to take something (sleeping pills, nightcap, supplements) in order to get to sleep
  • Sleepiness and low energy during the day

Whatever the cause of your insomnia, being mindful of your sleep habits and learning to relax will help you sleep better and feel better. The good news is that most cases of insomnia can be cured with lifestyle changes you can make on your own-without relying on sleep specialists or turning to prescription or over-the-counter sleeping pills.

Source: Helpguide.org
 
when I was in 3rd year udsm, I was drooling during sleep. it stopped baadae though
 
rafiki yangu HorsePower asante sana kwa mchango wako, lakini mimi sina tatizo kabisa na usingizi.
yaani kati ya watu wanaopenda kulala nadhani ni mmoja wapo, na pia nikijilaza kitandani tu nalala, bila tatizo lolote.
hapa tatizo linalonikumba ni kuwashwa macho, yaani ninaposikia usingizi tu basi macho yananiwasha vibaya sana, kama umewahi ona watoto wachanga wanavyowashwa na macho wanapotaka kulala basi na mimi hunitokea hivyo
 
Last edited by a moderator:
when I was in 3rd year udsm, I was drooling during sleep. it stopped baadae though
afadhali wewe yameweza kuacha, ulifanyaje? au yaliacha tu yenyewe. maana ukweli yanakera sana, najikuna macho mpaka nahisi naweza kuyaharibu
 
Reactions: BAK
afadhali wewe yameweza kuacha, ulifanyaje? au yaliacha tu yenyewe. maana ukweli yanakera sana, najikuna macho mpaka nahisi naweza kuyaharibu
yaliacha tuu yenyewe 🙂
kama yanawasha mno then nenda hospitali, it may be serious
 
yaliacha tuu yenyewe 🙂
kama yanawasha mno then nenda hospitali, it may be serious
kuna kipindi nilienda wakanipa drops.... nikatumia lakini wala hayakupona.
Ila sasa nikawaza huo ugonjwa wa macho kuwasha ninapokuwa na usingizi tu ndo ugonjwa gani? maana kama sina usingizi wala hayaniwashi kabisa
 
Reactions: BAK
kuna kipindi nilienda wakanipa drops.... nikatumia lakini wala hayakupona.
Ila sasa nikawaza huo ugonjwa wa macho kuwasha ninapokuwa na usingizi tu ndo ugonjwa gani? maana kama sina usingizi wala hayaniwashi kabisa
a doctor can answer that
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…