Tuambie na aina ya gari!!!!!
Ni kibito wangu.
Tuambie na aina ya gari!!!!!
Mkuu hizo gari roho ya paka kama vipi tuongee dili nilkodi kusombea mkaa kwenye matanuri yangu ya igindu kusogeza pale chalinze make izo rover zinapitika hata majurubani.
point noted: unajua kuendesha
Landrover 109 ya mwaka 78!
Ni kibito wangu.
Yani siku nikiwa kwa mguu au nikpanda dala dala huwa sibahatiki kukutana na 'watoto wazuri' tabu nikiwa kwenye private Car, ndio nawaona waleee! Na hivi breki zenyewe za kupampu pampu, mpaka nisimame unakuta mtoto keshapotea. Sasa sijui ndio kupishana na bahati kwenyewe huku?​
point noted: unajua kuendesha
Wasalimie jamaa zangu hapo Machame road bwashee.