Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,731
Yani siku nikiwa kwa mguu au nikpanda dala dala huwa sibahatiki kukutana na 'watoto wazuri' tabu nikiwa kwenye private Car, ndio nawaona waleee! Na hivi breki zenyewe za kupampu pampu, mpaka nisimame unakuta mtoto keshapotea. Sasa sijui ndio kupishana na bahati kwenyewe huku?​