Sijui mimi ni mtu wa aina gani?

Sijui mimi ni mtu wa aina gani?

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,569
Reaction score
2,584
Naombeni ushauri humu jamani sijui mimi ni binadamu gani katika haya mapenzi yaani mtu akionesha kunipenda na kunijali naona kero.

Nimepoteza demu mzuri tu mpole aliyekuwa ananijali na kunipenda kisa hivyo tu kutothamini upendo wake, na sio mara ya kwanza kwa mademu zangu au sijapata ninaempenda au ni tatizo la kiakili nashindwa kuelewa.
 
Naombeni ushauri humu jamani sijui mimi ni binadamu gani katika haya mapenzi yaani mtu akionesha kunipenda na kunijali naona kero,nimepoteza demu mzuri tu mpole aliyekuwa ananijali na kunipenda kisa hivyo tu kutothamini upendo wake,na sio mara ya kwanza kwa mademu zangu au sijapata ninaempenda au ni tatizo la kiakili nashindwa kuelewa
Itakua una matatizo ya akili, kacheki afya ya ubongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni ushauri humu jamani sijui mimi ni binadamu gani katika haya mapenzi yaani mtu akionesha kunipenda na kunijali naona kero,nimepoteza demu mzuri tu mpole aliyekuwa ananijali na kunipenda kisa hivyo tu kutothamini upendo wake,na sio mara ya kwanza kwa mademu zangu au sijapata ninaempenda au ni tatizo la kiakili nashindwa kuelewa
Huna tatizo ndugu ..ni bado tu hujabahatika kumpenda mtu. Ukimpata tu nature itakufunza
 
Naombeni ushauri humu jamani sijui mimi ni binadamu gani katika haya mapenzi yaani mtu akionesha kunipenda na kunijali naona kero,nimepoteza demu mzuri tu mpole aliyekuwa ananijali na kunipenda kisa hivyo tu kutothamini upendo wake,na sio mara ya kwanza kwa mademu zangu au sijapata ninaempenda au ni tatizo la kiakili nashindwa kuelewa
Siku zote inakuwa hivyo. Na hao mademu wanaokufukuzia sio unaowataka. Ukipata demu mkali sana aliekupenda.. na kama ni mkali sana.. na ww utampenda. Tatizo wanaokupenda wako kikawaida tu, japo moyoni wanakujali, ila utakuta sio warembo kivileee. Na pia NAFAHAMU KUNA UNAOWAPENDA ILA HAWAKUPENDI.. Sasa fukuzia hao hadi mmoja umpate. Achana na hao wanaokufukuzia ww.
 
Naombeni ushauri humu jamani sijui mimi ni binadamu gani katika haya mapenzi yaani mtu akionesha kunipenda na kunijali naona kero,nimepoteza demu mzuri tu mpole aliyekuwa ananijali na kunipenda kisa hivyo tu kutothamini upendo wake,na sio mara ya kwanza kwa mademu zangu au sijapata ninaempenda au ni tatizo la kiakili nashindwa kuelewa
Kweli hata uwe mbaya namna gani.. haukosi washabiki. JPM alikuwa rais mkatili sana sana, ila kuna watu waliomshabikia kama ww. Ila Mungu si athumani, na mwisho wa ukatili wake haukuwa mzuri..
 
Mkuu omba kupendwa mkuu na kamwe usije ukapenda kijana au hata ukishindwa kujizuia kupenda usije ukamwonyesha mwanamke kama unampenda .. ukizingatia haya maisha yako yatakua ni mteremko sana na utakuja kunishukuru
 
Naombeni ushauri humu jamani sijui mimi ni binadamu gani katika haya mapenzi yaani mtu akionesha kunipenda na kunijali naona kero,nimepoteza demu mzuri tu mpole aliyekuwa ananijali na kunipenda kisa hivyo tu kutothamini upendo wake,na sio mara ya kwanza kwa mademu zangu au sijapata ninaempenda au ni tatizo la kiakili nashindwa kuelewa
Utakuja kupenda mwanamke mbovu kupindukia, utampendea kucha tu na ndio utaoa.
 
Kuna sababu!! Kutokuamin kama unapendwa kunakujaga n historia ya kuumizwa... 'Click here to reject'
 
Kujua tatizo ni moja ya njia ya kuelekea kupata ufumbuzi wa tatizo...

Jifunze kupenda kwanza kabla ya kusubiria kupendwa...
 
Naombeni ushauri humu jamani sijui mimi ni binadamu gani katika haya mapenzi yaani mtu akionesha kunipenda na kunijali naona kero.

Nimepoteza demu mzuri tu mpole aliyekuwa ananijali na kunipenda kisa hivyo tu kutothamini upendo wake, na sio mara ya kwanza kwa mademu zangu au sijapata ninaempenda au ni tatizo la kiakili nashindwa kuelewa.
Kuhusu kama ni tatizo la kiakili au la waone hospital ya afya ya akili Mirembe
 
Naombeni ushauri humu jamani sijui mimi ni binadamu gani katika haya mapenzi yaani mtu akionesha kunipenda na kunijali naona kero.

Nimepoteza demu mzuri tu mpole aliyekuwa ananijali na kunipenda kisa hivyo tu kutothamini upendo wake, na sio mara ya kwanza kwa mademu zangu au sijapata ninaempenda au ni tatizo la kiakili nashindwa kuelewa.
Wewe ni CCM
 
Wew ni introvert badilika
 
Chanjo inafanya kazi yake sasa madhara yake ñdo haya
 
Naombeni ushauri humu jamani sijui mimi ni binadamu gani katika haya mapenzi yaani mtu akionesha kunipenda na kunijali naona kero.

Nimepoteza demu mzuri tu mpole aliyekuwa ananijali na kunipenda kisa hivyo tu kutothamini upendo wake, na sio mara ya kwanza kwa mademu zangu au sijapata ninaempenda au ni tatizo la kiakili nashindwa kuelewa.
we jamaa kama mim aisee daaah
 
Back
Top Bottom