Sijui mimi ndio sijaelewa??

Sijui mimi ndio sijaelewa??

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,676
1422819904158.jpg
 
Hehhe.hapo itakua upopular wake kwa upande wa wanawake.kavile yani anabebwa na wanawake kujipatia umaarufu.mi meelewa ivo.
 
Hehhe.hapo itakua upopular wake kwa upande wa wanawake.kavile yani anabebwa na wanawake kujipatia umaarufu.mi meelewa ivo.

Upo sahihi,ila nashangaa huyo dogo anachukia huko kwao kama zaidi ya diamond hapa bongo,halafu ukiangalia umaarufu wake ni noma,sikujua kuchukiwa unaongeza umaarufu wa mtu pia
 
Upo sahihi,ila nashangaa huyo dogo anachukia huko kwao kama zaidi ya diamond hapa bongo,halafu ukiangalia umaarufu wake ni noma,sikujua kuchukiwa unaongeza umaarufu wa mtu pia

Hahha.yeah.watu wengi wakikudis ni umaarufu pia...watu wanafkiri kumchukia mtu itamfanya awe mnyonge yani apukutike kabisa,kumbe ndo wanakua famous zaidi na unakuta kazi zao znakua sio za kubabaisha.wakifanya kitu cha maana hater anafyata tuu anakupondea ila ndo ivo tena tayar washasonga.haters hawajuagi tuu.bora wangenyamaza tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom