Sijui maana ya dili lakini hali ni mbaya

Sijui maana ya dili lakini hali ni mbaya

Kipindi cha Mkapa Watu walilalamika MAISHA MAGUMU.
Kipindi cha Kikwete ni hivyohivyo.
Kipindi cha Magufuli wimbo ni huo huo.
Hakuna wakati Binadamu atakuambia MAISHA MAZURI.

Tangu tunazaliwa mpaka sasa tunasikia watu wakisema maisha magumu.
Sio kweli kuhusu haya kipindi cha Mkapa walisema sawa lakini mambo yalikuwa yanaenda mzunguko wa biashara ulikuwa mzuri sana na maisha yalikuwa mazuri ila kwa sasa mmmmh ni hatari labda ni kheri kwako tu na kwa baadhi ya watu
 
Mimi ni muajiliwa pia nimejiajili ili kukuza kipato nina biashara ambazo zinajiendesha lkn kwa sasa biashara mauzo yameshuka kwa wastani wa 70% lkn tra wamepandisha makadirio yao ya ukusaji wa kodi kwa 80%, kwahiyo mambo hayajakaa sawa, lkn kazini pia mshahara umestuck toka 2015 haujapanda na gharama za maisha zimepanda maradufu mfano tuu unga umeongezeka kwa asilimia kubwa sana na gharama zingine za maisha.
Asante kwa majibu mazuri
Pia napenda kujua kama umejaribu kufanya mbinu za kibiashara ili kuongeza faida kama ukizitaja itakua faida kwa wasomaji hapa
 
Kipindi cha Mkapa Watu walilalamika MAISHA MAGUMU.
Kipindi cha Kikwete ni hivyohivyo.
Kipindi cha Magufuli wimbo ni huo huo.
Hakuna wakati Binadamu atakuambia MAISHA MAZURI.

Tangu tunazaliwa mpaka sasa tunasikia watu wakisema maisha magumu.
Sikubaliani na ww bila kutoa fact.
 
Kauli za kijinga hazijengi.
Unamzalau mama yako mke wa baba yako
 
Mimi ni muajiliwa pia nimejiajili ili kukuza kipato nina biashara ambazo zinajiendesha lkn kwa sasa biashara mauzo yameshuka kwa wastani wa 70% lkn tra wamepandisha makadirio yao ya ukusaji wa kodi kwa 80%, kwahiyo mambo hayajakaa sawa, lkn kazini pia mshahara umestuck toka 2015 haujapanda na gharama za maisha zimepanda maradufu mfano tuu unga umeongezeka kwa asilimia kubwa sana na gharama zingine za maisha.
unaonekana unayo hoja ya msingi, ila nadhani tatizo limekuwa kwenye uwasilishaji wako. Labda nifafanue hivi:

1. Maisha kwa ujumla wake yameendelea kuwa magumu kila siku, hii ni kawaida kwakuwa hata ukipata nafasi kuzungumza na watu wazima, watakwambia leo ngumu zaidi afadhari ya jana...hii ni kawaida sio tu Tanzania, ila duniani pote, kwamba siku zinavyozidi sogea ndio pia changamoto zinazidi kuongezeka.

2. Nadhani ugumu wa maisha unaotaka uongelea hapa, ni hali nzima ya upatikanaji wa pesa kutokana na shughuli za kawaida za kila siku.Hapa hoja ipo, na kwamba ni kweli pesa imekuwa ngumu kupatikana, sio tu kwa wapiga dili, ila hata hawa wenye shughuli zinazoeleweka. Hii ni kwa sababu, pesa iliokuwa inazunguka kutokea kwa wapiga dili, na kuja kwenye shughuli halali hivi sasa haipo tena, kwahiyo hata ww mwenye shughuli inayoeleweka lazima utapata machungu ya hili tukio.,hii ni kawaida.

3. Jambo la msingi katika wakati kama huu, ni kuhakikisha watanzania wanapata uwezo wa kuona fursa kwenye maeneo mengine ambayo yanaweza kuwa na tija zaidi kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja. Kama ukiendelea kung'ang'ania biashara/shughuli ile ile ni lazima hutaweza kupata kipato kama cha zamani.

Pia, ni wakati sasa, ambapo watu wanatakiwa wabadirike, wajiadjust kulingana na hali halisi ya maisha ya sasa, wataalam wanasema "go back to new equlibrium". Hapa namaanisha kubadirika katika swala zima la matumizi ya pesa.Ukitaka uendelee na maisha yale yale ya mwaka juzi, na hali kipato kimebadirika basi ni lazima utapata machungu.

3. Halafu, nadhani sio sahihi kutumia bei ya bidhaa 1, (bei ya unga) kama kigezo cha kupanda kwa gharama za maisha. Bei za bidhaa za chakula mara nyingi hibadirika badirika kutokana na hali ya upatikanaji wa chakula, na pia mategemeo ya upatikanaji huko siku za usoni. Kwa mfano, bei ya unga imepanda Tanzania, hata na nchi jirani kama Kenya, Uganda n.k. Kwa ufupi, bei hii ya unga ilipanda kutokana na kuwepo na mategemeo ya kupungua kwa mavuno ya maindi siku za mbeleni, hali iliyokuwa imechangiwa na kuwepo kwa hali ya ukame siku za nyuma. Hivi sasa mvua zimepatikana, na watu wengi hawana tena hofu juu ya upatikanaji wa chakula, hasa maindi, hivyo ni mategemeo yetu kwamba bei za vyakula hasa maindi zitaendelea kushuka siku za mbeleni.
 
Asante kwa majibu mazuri
Pia napenda kujua kama umejaribu kufanya mbinu za kibiashara ili kuongeza faida kama ukizitaja itakua faida kwa wasomaji hapa
Yah nimefanya mbinu kadhaa lkn issue ni kwamba chain yangu ya wateja ilikuwa kubwa sana lkn kwa sasa wateja wale wale wanalalamika hawana pesa na hata wakikopa marejesho ni shida mno, nimeshusha bei ya bidhaa kwa 2% lkn bado cyo shwari, natumia mbinu km za kujitangaza ktk mitandao kadhaa ya kijamii, lkn pia kwa biashara yang ya mkoani naitangaza mpk kwenye radio ila nimekwama kutokana na gharama za kutangaza ni kubwa kidogo.
 
Mkuu mm cjajua hawa wenzetu wanaosema kwao shwari wanaishije

Nimeanza kazi 2014, mshahara afadhali, Sina familia, increment ipo, madanga ya kumwaga teh...maisha mazuri.
2015 nimeongeza familia, katoto, kuna gharama za msichana wa kazi, bili za Maziwa, kodi ya nyumba imeongezeka n.k. halafu no increment, bodi hata walikotokea wakachukua 15%, mishe nyingine haziendi.
Hayo yote yakitokea huku sukari kilo 2700, unga 2000. Mshahara umezidi kupungua bora ungebaki palepale
Mbaya zaidi hawataki kufungulia uhamisho nimfate mume wangu tuisome namba kwa pamoja labda tutaelewa mapema.

Hapo nikilalamika maisha magumu naitwa mpiga dili
 
Yani cjui hawa wenzetu wanalipwaje au wanajihusisha na issue gani
 
Kipindi cha Mkapa Watu walilalamika MAISHA MAGUMU.
Kipindi cha Kikwete ni hivyohivyo.
Kipindi cha Magufuli wimbo ni huo huo.
Hakuna wakati Binadamu atakuambia MAISHA MAZURI.

Tangu tunazaliwa mpaka sasa tunasikia watu wakisema maisha magumu.
Hiv wew hebniambie kipindi chamiaka mitatu iliyopita nisawa na sasa au unaongeatu. Sikuhiz hatawauza sigala wanalalamika hazitoki sasa jiulize wauzasigala wamepungua au pesa yakununulia hiyosigala imepungua
 
Back
Top Bottom