0123456789
Member
- Jan 1, 2014
- 68
- 8
wanadamu tunafanya mengi kwa kutumia juhudi na akili zetu tukidhan kuwa ndo pekee za kutufanikisha lakini katika mambo tukimtanguliza mungu ili afanye kile ambacho kinatufaa hakika hatuwezi kuhangaika. Sema wakati sie wanadamu tunafanya yetu na inapofika mahali mambo yanagoma ndo tunakumbuka kuwa mungu yupo
Kweli kiongoziwanadamu tunafanya mengi kwa kutumia juhudi na akili zetu tukidhan kuwa ndo pekee za kutufanikisha lakini katika mambo tukimtanguliza Mungu ili afanye kile ambacho kinatufaa hakika hatuwezi kuhangaika. Sema wakati sie wanadamu tunafanya yetu na inapofika mahali mambo yanagoma ndo tunakumbuka kuwa Mungu yupo
Katika nyakati zetu za sasa ni vigumu sana kumpata mwanamke aliye mwema.
Moyoni mwangu nafikiri sana nionapo marafiki wangu jinsi walivyo salitiwa na wapenzi wao.
Nauliza nyinyi mlio oa na kupata wake wema mlifanyaje mpaka mkawapata hao maana ninampango wa kutafuta mke.
Uko sawa kabisa mkuu bcsolutionWewe umempata mwanamke disco unategemea awe mwema? Mwanamke mwema kwanza chunguza wazazi wake wema? Amelelewa vp kimmadili? Maadili gani wanayo kwao, ndugu zake waliolewa kama wapo ndoa zao zikoje zimedumu? Kaka zake kama wapo wanaishije? Na la mwisho mwisho ni bahati tu kupata mke mwema unaweza fatilia yote na ukakosa mwema
Kweli tupu Mkuu manking haya mambo ya kuvuta jiko yanachanganya sanaMke mwema anapatikana pia na wewe mtafutaji uwe mwema sio uwe mchepuko halafu utafute aliyetulia utampata mchepuko mwenzio.
Karibu, natumaini utampata atakayekufanya ufurahie maisha kama wewe na sio kumfurahisha mtu mwingine na utaona mapenzi yalivyo matamu.:dance::dance::dance:Asante sana kwa ushauri wako.