SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Je, ww ni mume mwema?? Usije ukawa unalilia mke mwema kumbe ww mwenyew unashnda kwenye mapaja ya watoto wa watu.........
And the counter question is:JE WEWE NI MUME MWEMA????!!ar u husband material?
asante sanajitahidi kuwa mwema wewe mwenyewe kwanza pili tumia njia njema kumtafuta mtu mwema. Mungu atakusaidia
Katika nyakati zetu za sasa ni vigumu sana kumpata mwanamke aliye mwema.Moyoni mwangu nafikiri sana nionapo marafiki wangu jinsi walivyo salitiwa na wapenzi wao.NAULIZA NYINYI MLIO OA NA KUPATA WAKE WEMA MLIFANYAJE MPAKA MKAWAPATA HAO MAANA NINAMPANGO WA KUTAFUTA MKE.
Kama unaogopa kusalitiwa sijui kama utaoa ndugu yangu.Bado sijaoa kwa sasa na sijawahi kujihusisha na mahusiano mpaka sasa.Sasa hivi nimeshakuwa mtu mzima nataka nianze kutafuta mwenza.Lakini nacho ogopa mpaka sasa ni kuanzisha mahusiano halafu baadae kusalitiwa.Ndio maana nimeamua kuomba ushauri kwenu ili nisije kukosea katika kuchagua .
Wewe unaweza?kaoe baamedi alieamua kuacha ubamedi utafurahi mwenyewe.
Bado sijaoa kwa sasa na sijawahi kujihusisha na mahusiano mpaka sasa.Sasa hivi nimeshakuwa mtu mzima nataka nianze kutafuta mwenza.Lakini nacho ogopa mpaka sasa ni kuanzisha mahusiano halafu baadae kusalitiwa.Ndio maana nimeamua kuomba ushauri kwenu ili nisije kukosea katika kuchagua .

Biblia haisemi chochote kuhusu mume mwema. Anayeoa ni mwanaume sio mwanamke