Huwezi kumkwepa maisha yako yote, ni mzazi mwenzako. Kama mama alivyosema, aje nyumbani ili ajibu hayo maswali. Kwa nini alikutelekeza? Kwa nini hakutaka kuja kumuona mtoto wake? Na kwa nini Leo aone ndio wakati wa wewe kuonana nae?
Nina wasiwasi jamaa anataka kuosha dushe hana lolote...!
Ama kweli ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Yaleyale ya Miss TZ 2014.hapa unasema umefeli form four na kila unachosoma unafeli sasa tuamini nini
wewe dada ni muongo sana hapa unasema una diploma in journalism
hapa unajitambulisha kama lesbian
sasa tutaaminije stori hii kama sio chai kama ajisemeavyo BADILI TABIA ??
hahahahaaaa si ndio na sikia macheki bobu wanawapenda sana tehKusex na macheki bob kuna impact nyingi..
ulishika mimba ili iweje ?
sijakuelewa kuanzia hapo....au kuna mtu anaweza pata mimba bila kusex?
hapa unasema umefeli form four na kila unachosoma unafeli sasa tuamini nini
wewe dada ni muongo sana hapa unasema una diploma in journalism
hapa unajitambulisha kama lesbian
sasa tutaaminije stori hii kama sio chai kama ajisemeavyo BADILI TABIA ??
ulishika mimba ili iweje ?
Ahhhha i love u honey mabus mengimengi kwako umejua kumuumbua mtu kama Tyta
Ipo siku na huyo Anna pita naye ataumbuka kama mwenzake neema pita ,,,,,,, tusubirie tu!neema pita na Anna pita siyo mtu yuleyule kweli?
Amepewa makavu kanyweaa sijui kama atarudia kutoa maada
mamaafacebook leo MO11 kamuumbua mtu muongo ambaye ameshindwa kukumbuka before aliandka nn thnx MO11