KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,758
- 39,494
hapa unasema umefeli form four na kila unachosoma unafeli sasa tuamini nini
wewe dada ni muongo sana hapa unasema una diploma in journalism
hapa unajitambulisha kama lesbian
sasa tutaaminije stori hii kama sio chai kama ajisemeavyo BADILI TABIA ??
Aisee kumbe huyu dada anatufanya sisi makatuni.....watu mpaka tunaenda maktaba kuchimbua nondo na mapoint ya maana kumfariji.....kumbe anatufanya sisi masakara.....shenzy zake....nakuomba mkuu ukimkamata mkate vibao kwa niaba yangu....nina hasira nae sana.......
Last edited by a moderator: