Sijui lengo lake nini

hapa unasema umefeli form four na kila unachosoma unafeli sasa tuamini nini


wewe dada ni muongo sana hapa unasema una diploma in journalism


hapa unajitambulisha kama lesbian

sasa tutaaminije stori hii kama sio chai kama ajisemeavyo BADILI TABIA ??

Mkuu wewe ni kiboko ya waongo, safi sana
 
We achana na huyo kunguru wa feri .. lea mwanao mzazi wako kakwambia kweli.. hana adabu anajua kukojoa tu .. we jua ulichukua mbegu pale na huna mpenzi wala baba wa mwanao

Mtani usitoke mishipa ya shingo bure...kwa kumshauri...huyu kumbe anatufanya makatuni tu
.....mkuu MO11 ameshamuumbua.....
 
Last edited by a moderator:
hapa unasema umefeli form four na kila unachosoma unafeli sasa tuamini nini


wewe dada ni muongo sana hapa unasema una diploma in journalism


hapa unajitambulisha kama lesbian

sasa tutaaminije stori hii kama sio chai kama ajisemeavyo BADILI TABIA ??

Kumbe huyu demu nyumbu aisee
 
Last edited by a moderator:
Mimi nakerwa sana na waongo wa jf!!Hapa jf nimewahi kukutana na mwongo mmoja mpaka kamzidi shetani,nadhani ni ndugu yake huyo dada!!shenzy type!
 
Ndio maana wengi huleta mizaha hata kama mtu tupo na shida. Tatizo ni viumbe kama hawa, waongo sana...

Kweli mkuu JF imeshachafuka....inatakiwa mods wawe makini na wapuuzi kama hawa kwa kuwa kuna wengine wanahitaji ushauri kwa dhati lakini ngedere kama hawa ndio wanaowafanya wadau watoe majibu ya kejeri......inatakiwa mtu akisharepotiwa apigwe ban....haraka iwezekanavyo ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo....nakulinda heshima ya JAMIIFORUM where we dare to talk openly...
 
Nina miezi 3 tangu nimejifungua.

Mzazi mwenzangu tulipanga kuona baada ya ujauzito akaniambia nitoe nikakataa basi tukarumbana tukawa tumekosana.

Nimekaa nyumbani na ujauzito nyumbani nikaambiwa niende kwa alienipa huo ujauzito nikaenda kwa nguvu japo jamaa hakutaka alinipikea tumekaa.

Simu yake na yangu zinafanana zote ni tecno m3
Kuna siku nikashika yake kwa kutokujua nikadhani yangu.

Alinitukana sana na kuniambia hanipendi ana mtu anaempenda sio mimi nisimng'ang'anie hanitaki kabisa basi nikaamua kuondoka nikamweleza mama ukweli basi akasema huwezi mlazimisha mtu kama hakutaki.

Nilipokaribia kujifungua nikamuomba hela akaninyima.

Sikuchoka nilipojifungua nikamtaarifu nikamtumia na picha ya mtoto hata hongera hakunipa aliulizia jinsia tu nilivyomwambia kakaa kimya.

Sasa kilichonifanya nije kwenu.

Mtoto anamiezi 3 kipindi chote hatukua na mawasiliano cha ajabu wiki sasa ananiambia niende kwake nikamsalimie kaniuliza na mpenda nikajibu ndio.

Anataka niende sijui nia yake nini mama kasema kama anakutaka aje hapa nyumbani sababu alikutelekeza bila msaada wowote umezaa hajaja hata kumuoba mtoto iweje leo akuite uende? nimemwambia aje kakataa siwezi kuja huko kwenu wewe njoo.

Sielewi lengo lake nini je kwa nini akatae kuja nyumbani au anataka kuniumiza tena kwani nilishaanza kuzoea japo nampenda sana sijui nifanye nini? sijui nia yake nini juu yangu

Sasa wewe hukujua kama unadate kavulana? Mwenzio wanadate wanaume. On a sasa anashindwa hata kuja kumuona mtoto wake. Lakini pole sasa jikoki uende na utakapo dhani anakupenda kumbe mwenzio anakuona wewe wakuponea anapokua na njaa.
 
fatilia haya maneno ya mzazi wako.


mama
kasema kama anakutaka aje hapa nyumbani
sababu alikutelekeza bila msaada wowote
umezaa hajaja hata kumuoba mtoto iweje leo
akuite uende?
 
Mwanaume akikwambia hakupendi ni hakupendi kweli na kwann ulazimishe dunia ya leo?? Ukimsikiliza ba kumfuata na ukiamini huwezi ishi bila yeye basi utakua ni miongoni mwa wanawake wapumbavu kabisa kupata kutokea miaka ya hivi karibuni

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom