Sijui,lakini nadhani wanawake wanaweza kutupa majibu juu ya hili ......!!!!!

Unang'ang'ania uende ghorofa ya 3 bila ya kupitia ghorofa ya kwanza na pili

Ni kitu gani kilimfanya akubali kuolewa na mimi at the first place?
Au hayo mapungufu yamekuja kutoka kusikojulikana tu?

Halafu unajua kama kuna mtu mwenye sifa zote hizo duniani?
Na una uhakika kuwa hicho ndio kinawafanya watoke nje ya ndoa?

Wameshakujibu sina haja ya kurudia!
 
Wameshakujibu sina haja ya kurudia!
Unakijua nilichouliza na nimemuuliza nani?

Maswali hayo kwenye hiyo quote nimekuuliza wewe kutokana na maneno yako mwenyewe,iweje uniambie kuwa kuna mtu amenijibu?
 
Back
Top Bottom