Boss inaonekana wewe ni antisocial, mtu mkuda/mnoko asiyejichanganya na watu. Kutongoza ni social aspect, si vita, si ugomvi, si matusi, si ushamba...sasa unashindwaje mkuu??
Kutongoza is a process, si tu umempenda mdada muda huo huo unataka umwage sera. Anza kumvuta pole pole, mfn muulize km anajua kuogelea. From there hautakosa cha kuendeleza.
Kitu kirahisi zaidi cha kuanza nacho ni kuwa rafiki wa watu, wake kwa waume. Utagundua kutongoza ni kitu chepesi kama A E I O U.