Sijui kutongoza, msaada please

Katika mambo yaliyorahisishwa awamu ya tano ya rais JPM moja wapo ni kutongoza it's very easy hutumii nguvu kama awamu ya nne (enzi za JK)
 
Teh! ngoja nimalizane na SWOC analysis then nitawarudia kuwashushia nondo
Okay.. Nitafurahi Sana maana napenda kujifunza mambo mapya kila kukicha sitaki kujifanya Fundi nikajiona najua sana.
 
1. Wanawake wanapenda uongo ukiongea ukweli imekula kwako
2. Mwanamke anapenda umsifie hata kama mbaya vp.
3. Kuwa mcheshi
4. Kila story usimalizie ili awe anakuulidha endelea unamwambia siku nyingine (siku nyingine wewe utaandaa mazingira ya story )
5. Jijengee kushika sehem za siri za kwako akikuulidha mwambie zipo mbili ila moja inakaa vibaya atataka kuiona hapo ujiongeze sasa
 
Ukiwa na hela huwezi kuwa muoga,tafuta hela kwanza utakua na confidence
 
Hapa sijaelewa yani miamala inahusika hila marufuku kuongelea ngono
 
Umejuaje kama hujui kutongoza?!
naweza kukaa na mwanamke kwa muda bila kumtongoza kwa kuogopa tu kwamba labda atanitukana au kunifokea ila wenzangu wanakula kiulaini
 
Nilimwambia binti mmoja.
"Hey una mpenzi na mimi nina wangu, naomba tumegane tu, sitaki kukufunga kamba"
Akajibu "Punguza uhuni kua romantic halafu rudi tena"

Sikurudi tena kwakua kuacha uhuni nilishindwa na kua romantic siwezi, ila tumia hizo points alizonipa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…