Sijui kutongoza, msaada please



Baelezeeee Baelezeeee mamaaaaaa


cc Smart911
 

Mkuu umekula hela za rambi rambi kwenye chama chetu cha CHAPUTA sasa unataka kutukimbia, RB yako tunayo!!
 
Reactions: Ftc
Pole sana kwa tatizo lako la 'UDOMO ZEGE' kwanza cha kwanza inabidi ukubaliane na tatizo lako, kaa kwenye kioo jitazame kisha sema mimi ni Domo zege, ukisha kubali tatizo lako, den work hard, tafuta Pesa mzee ,wewe tafuta pesa tu mwisho wa siku watajitongozesha wenyewe, na utapata kila aina ya mwanamke unaemtaka.

Wasalaam.
 
Nimependa comment yako! Only gentleman can do that!
 
Mpaka apate pesa za kuwavutia warembo atakuwa mzee sana. Hivyo hatawafaidi sana.
 
aseehh mkuu umeongea point jiwe kinoma yani ingefaa kabisa ifunge hii thread!! sema ndio vile tena unaeza kukuta jamaa ni mzito ata kuchukua aya madini ulomwambia.

Real voice.
 

Leo utakuwa na furaha sana, natamani kujua siri ya mafanikio ni nini!

Mshauri jinsi ya kupata namba, maana hata namba hajapata ujue.
 
Nikionaga thread kama hizi najiuliza 'why?'


Sio kama men, men tunafata sana sura. Kama hivyo vya juu shida, wewe hustle and get money watajileta, nunua V8 weka jina kwenye plate number.
Goodluck

-callmeGhost

Kama ni hivyo kwamba mpaka V8 ndo ugonge kazi ipo.

Huwezi kupata demu mkali kama unasubiri utongozwe wewe, unasubiri mademu wajilete, you will end up playing loose balls.
 
Leo utakuwa na furaha sana, natamani kujua siri ya mafanikio ni nini!

Mshauri jinsi ya kupata namba, maana hata namba hajapata ujue.


Nimeamka na Bwana thats why am Happy.
 
Nimeamka na Bwana thats why am Happy.

I can see it, maana nilivyoona "rubii quoted you" nikajua kimewaka leo, ile nafungua huku nina mawazo kwelii, kuja kusoma nikashusha pumzi kusema Asante Bwana.
 
Hilo tatizo hata mimi ninalo na kwa uoga huu najikuta natumia kiasi kikubwa cha fedha kuwapata wasichana
 
MWAMBIE DADA UNATUMIAGA M_PESA AU TIGO PESA THEN AKIJIB NDIO NENDA NAYE KWA WAKALA THEN UNAMLUSHIA 30000,KESHO ATAKUTAFUTA TENA UTAMPA 40000,KESHOKUTWA IVYO IVYO TENA ....SIO SIRI UTAPENDWA WEWEEE,ADI MIMI NITAONA WIVU UPENDO WENU
 
I can see it, maana nilivyoona "rubii quoted you" nikajua kimewaka leo, ile nafungua huku nina mawazo kwelii, kuja kusoma nikashusha pumzi kusema Asante Bwana.



Tuachane na hayo.
Unajua kutongoza wewe??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…