Sijui kutongoza, msaada please

Naona mkuu kila angle uko guda guda sio
 
Mwambiye NIPE HII NA MM NIKUPE hii basi simple tu mkuu...unaonyesha kwenye BUMUNDA LAKE na ww mkono unaonyesha kwenye DUSHE LAKO....au mkaribishe chumbani au sitting room.. Vaa taulo...lifanye taulo likuanguke makusudi lazima atakuona upo UCHI TU..na wewe ....uanze kumwambiya LAZIMA NA WW UMWONE sababu yeye kakuona...hivyo tu..akivua ndy unammeng'enyuwa
 
Nikionaga thread kama hizi najiuliza 'why?'


Nakubaliana na mshauri mmoja alie sema unaweza kuwa antisocial. Kwa mtazamo wangu, marafiki zangu wengi ambao ni social sana hawajawahi kupata wakati mgumu kupata partner. Unakuta anaongea nae kama siku zote alafu anaanza kumtreat as a partner, mwishoni unasikia tu mtu kashout 'Yes, I will be your girlfriend'. Unabaki unapiga makofi
Kusema ukweli Nina ka wivu na hizi skills zao.

Kwanza jua kabisa kuna njia nyingi za kupata someone to date.

Numero un
looks wasichana hawapendi kutembea na mtu mwenye appearance ya hovyo. Inategemea na class. Sijui wewe upo league gani heheheh(utani tu).

Numero deux hili la maana sana, confidence. Hata kama sura mbovu, make sure confidence ipo on point. Kumbuka confidence goes with appearance, ukija na confidence nguo zimeliwa na panya utaitwa kibaka.

Numero trois don't be too nice, you will be a creep and scare them off, vile vile don't be too hard, you will be a jerk. Nasikia ladies love jerks but naongelea wasichana sio wanawake kama wewe unaenda 27 up. Nakushauri ubalance between this. Kama below 27, be more of a challenge.

You can not change your face, but you can make yourself look better na kizuri no girl goes over face. Sio kama men, men tunafata sana sura. Kama hivyo vya juu shida, wewe hustle and get money watajileta, nunua V8 weka jina kwenye plate number. Sana sana kazi itakua kumpa eye contact atakutongoza yeye


Conclusion

Siwezi kusema mimi pro but nilikuwa na Bahati ya kupata 3/10 ya girl niliowafata, ratio mbaya but that's the whole point, have fun while flirting. 3/10 I am proud. So ukipiga sound wakakupiga kibuti sema next. Kwanza kwa records za TZ wanawake wengi. So sijui ni wabaya but options nyingi tu. Nikukumbushe ukiwa na hela you can skip step one. Wewe utakuwa wa shortcut tu.


Goodluck

-callmeGhost
 
Tumia makuzi yani fanya kama utani utani ila ndio unamaanisha hivyo, utaweza tu mkuu!
 
Anza kusalimia "shikamoo dada naomba nikutongozee..!" Alaf usikie atasemaje..


Bro kutongoza hakufundishwi..km huwezi wambie wazee wakuletee mke ww ubebe uweke ndani tu..
 


Mpendwa kutongoza ni kazi rahisi sana.
Muhimu uwe na pesa na namba ya simu ya mhusika
Usimtumie vimsms vya "hi" "mambo" "gudnyt" kama hujampa vocha ya kukujibia
Usimtumie msg za "twende lunch" "karibu kula" kama hujampa hela ya kula
Pendelea mawasiliano kwa njia ya calls' na sio 24/7 ni vijisms tu.
Epuka matumizi ya "WhatsappCalls"! Ni fedheha na kujishushia hadhi mwanaume
Maongezi yenu yawe ya kufahamiana tu umri, familia zenu, Makazi malengo maishani
Epuka maongezi ya kuongelea habari za ngono na kunjunjuana "unaonekana mtamu sana" "ukinipa nitakunyonya"
mpaka hapo utakua umeanza kuwin akili yake kwa 20%
........ Itaendelea
 
rubii huo muda wa mapenzi ya kihindi nautoa wapi miye? Style ya kuviziana mbona siyo ya enzi hizi? Hii dizaini hadi mje m-date mbona watu walishalamba mzigo siku nyingi? Siku hizi ni namba ya simu tu, kinachofuata "tunakutana wapi?" - full stop!
 
rubii huo muda wa mapenzi ya kihindi nautoa wapi miye? Style ya kuviziana mbona siyo ya enzi hizi? Hii dizaini hadi mje m-date mbona watu walishalamba mzigo siku nyingi? Siku hizi ni namba ya simu tu, kinachofuata "tunakutana wapi?" - full stop!


Mimi nimemuelezea style ya kutongoza mtu mwenye malengo naye.
Hiyo yako yamalaya kutongozana haina msaada kwa ndugu yetu hapa
 
Alaa kumbe...!
Nimeelewa sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…