Try at your level best to be clean both physically and mentally ,automatically you will get the confidence of seducing any girl of your dream.Huwa nakutana na wadada wengi wazuri mchoni ila kuanza kutongoza sasa inakuwa shida, huwa naingiwa na kauoga fulani hivi na mate hukauka mdomoni ingawa mi mkubwa kabisa wa kusimamisha mwanamke na akaeleweka, 27yrs, niambie huwa wanaanzaje kutongoza hadi kula mzigo?
YANI UMENISAIDIA SANA MKUU[emoji5] [emoji4] [emoji4]Boss inaonekana wewe ni antisocial, mtu mkuda/mnoko asiyejichanganya na watu. Kutongoza ni social aspect, si vita, si ugomvi, ni matusi sasa unashindwaje mkuu??
Kutongoza is a process, si tu umempenda mdada muda huo huo unataka umwage sera. Anza kumvuta pole pole, mfn muulize km anajua kuogelea. From there hautakosa cha kuendeleza.
Kitu kirahisi zaidi cha kuanza nacho ni kuwa rafiki wa watu, wake kwa waume. Utagundua kutongoza ni kitu chepesi kama A E I O U.
Nampenda Numbisa![emoji176][emoji176][emoji176]Iga kwa huyu mtaalamu utawezaView attachment 512234
Nampenda Numbisa![emoji176][emoji176][emoji176]
Shukrani ya mdomo hailipi/haina maslahi!Shukrani
Shukrani
Mimi je!?
Shukrani ya mdomo hailipi/haina maslahi!