Sijui kuandika English

Sijui kuandika English

Yaani kuongea unajua ila kuandika hujui? Duh kazi ipo maana nahisi hapo kuna tatizo huenda composition mwalimu wako anapata shida sana. Bext way tafuta mwenzio anajua lugha p+ kuandika then atakuwa anaongea we unaandika.
 
hebu weka namba yako nikufundishe vyema kuanzia aina za maneno na kuendelea
 
Back
Top Bottom