kajuna john
Member
- Jan 29, 2017
- 73
- 26
Habari zenu
Nina msichana ambaye tumekutana kwenye mtandao tukaanzisha urafiki na hatimaye mahusiano,
Tatizo ni kwamba wadada wa mitandao wengi wao ni wadanganyifu lkn huyu amekua akipiga simu hata nyakati za usiku sana kuniulizia nipo na nani na kibaya zaidi nilijaribu kumwambia sina imani naye na alidiriki kujaribu kunywa sumu ingawaje walimuwahi na kumpa maziwa.
Na amekuwa akisisitiza kila mara nikijaribu kumuacha atajiua. Sasa sijajua kama anaigiza au laaaaah.
naombeni ushauri tafadhali