The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 87
Ninavyojua Mimi iko hivi kwa elimu yangu ya kihelahela:
Hizi tarehe zinaanzia siku Mtu anaanza MP.
1, 2, 3, 4, 5,6, 7, 8, 9, 10, (11, 12, 13, 14, 15, 16, 17) 18,19, 20, 21,22,23,24.....hadi next MP
Notes:
1 had 5: Siku ya kwanza hadi anamaliza MP
6 hadi 9: Siku salama sana
10 na 18 kuna uwezekano wa kupata Mimba kwa maana Mbegu zinakaa angalau masaa 24. kwa hio mtu akipata mbegu tarehe 10 kunauwezekano wa kukutana na yai tarehe 11.
11, 12, 13, 15, 16, 17 Siku hizi ni nzuri kupata mtoto, na siku ya 14 ndio nafasi ni kubwa kuliko siku hizo sita enzake.
19,20,21,22,23 hadi anaanza tena MP: Ni siku salama sana.
Wataalamu watasaidia zaidi.
Cku ya 14, bt kumbuka 2naihesabu cku alyoanza kupata MP yake km ya kwanza bt n vzur ukafanya kuanzia day 13-16
Baada ya siku za mwanamke kuonekana yaani hedhi au kwa king reza "P" inachukua muda gani toka siku ya kwanza kufikia siku ambazo akifanya mapenzi anashika mimba?
wote wenye uzwefu nijuzeni wake kwa waume. Baada ya siku za mwanamke kuonekana yaani hedhi au kwa king reza "P" inachukua muda gani toka siku ya kwanza kufikia siku ambazo akifanya mapenzi anashika mimba? Toa mchango kiutalaamu zaidi
Ninavyojua Mimi iko hivi kwa elimu yangu ya kihelahela:
Hizi tarehe zinaanzia siku Mtu anaanza MP.
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, (11, 12, 13, 14, 15, 16, 17) 18, 19, 20, 21,22,23,24.....hadi next MP
Notes:
1 had 5: Siku ya kwanza hadi anamaliza MP
6 hadi 9: Siku salama sana
10 na 18 kuna uwezekano wa kupata Mimba kwa maana Mbegu zinakaa angalau masaa 24. kwa hio mtu akipata mbegu tarehe 10 kunauwezekano wa kukutana na yai tarehe 11.
11, 12, 13, 15, 16, 17 Siku hizi ni nzuri kupata mtoto, na siku ya 14 ndio nafasi ni kubwa kuliko siku hizo sita enzake.
19,20,21,22,23 hadi anaanza tena MP: Ni siku salama sana.
Wataalamu watasaidia zaidi.
Ninavyojua Mimi iko hivi kwa elimu yangu ya kihelahela:
Hizi tarehe zinaanzia siku Mtu anaanza MP.
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, (11, 12, 13, 14, 15, 16, 17) 18, 19, 20, 21,22,23,24.....hadi next MP
Notes:
1 had 5: Siku ya kwanza hadi anamaliza MP
6 hadi 9: Siku salama sana
10 na 18 kuna uwezekano wa kupata Mimba kwa maana Mbegu zinakaa angalau masaa 24. kwa hio mtu akipata mbegu tarehe 10 kunauwezekano wa kukutana na yai tarehe 11.
11, 12, 13, 15, 16, 17 Siku hizi ni nzuri kupata mtoto, na siku ya 14 ndio nafasi ni kubwa kuliko siku hizo sita enzake.
19,20,21,22,23 hadi anaanza tena MP: Ni siku salama sana.
Wataalamu watasaidia zaidi.
Ninavyojua Mimi iko hivi kwa elimu yangu ya kihelahela:
Hizi tarehe zinaanzia siku Mtu anaanza MP.
1, 2, 3, 4, 5,6, 7, 8, 9, 10, (11, 12, 13, 14, 15, 16, 17) 18,19, 20, 21,22,23,24.....hadi next MP
Notes:
1 had 5: Siku ya kwanza hadi anamaliza MP
6 hadi 9: Siku salama sana
10 na 18 kuna uwezekano wa kupata Mimba kwa maana Mbegu zinakaa angalau masaa 24. kwa hio mtu akipata mbegu tarehe 10 kunauwezekano wa kukutana na yai tarehe 11.
11, 12, 13, 15, 16, 17 Siku hizi ni nzuri kupata mtoto, na siku ya 14 ndio nafasi ni kubwa kuliko siku hizo sita enzake.
19,20,21,22,23 hadi anaanza tena MP: Ni siku salama sana.
Wataalamu watasaidia zaidi.
umeshapata mpenzi tayari?Angalia huu mchoro mkuu.
nitakutafuta kwa msaada zaidi
Karibu sana mangee!! Niaje zako lakini?
za kwangu safi sana ... za kwako wewe ?
umeshapata mpenzi tayari?
Siku nikipata utajua mana nitashukuru humu jamvini, wadada wa humu si mnajifanya bandidu au mnadhani mimi ni Rumenya.
Hiki kidengereko cha wapi tena?