Sijui hii kitaalam inaitwaje? Very dangerous

The Boss Watu8
Huyo ni mama Zuu, aliyezaa na Harmonize. Na huyo mtoto ndo Zuu mwenyewe. Ametuma ujumbe huo kwa Konde...anahitaji mahitaji ya mwezi.

Konde akaamua kushare, nafikiri anataka tumuombee.
 
Mama Zuu kasahau Vitu vya Msingi, pia sijaona DSTV AU AZAM malipo au Hana TV. Au pengune aweke hata gharama za Bando netflix. Mbinguni tutafika tumechoka sana.
Itakuwa kuna part 2 ataituma siku zijazo.
 
Mbona sioni nyanya vitunguu, mkaa au gas.
Mama Zuu atakuwa amesahau kuweka mboga mboga za majani, mshahara wa dada wa kazi.
Wanaume tafuteni hela mtafika mbinguni mmechoka sana.
Anapikia umeme si 50000 hiyo umeona hivyo vingine vyote
 
Ingekua mimi ndio mmakonde huyu ndio mke wa kuoa kabisa kwa sababu anachallenge katika kuongeza nguvu kutafuta hela
 
Huyu ni changudoa, wanawake wa aina hii si wa kuoa ni wa kuchapa tu na kinga zaidi ya moja ili asikuzalie mtoto.
 
Vipi anataka kufungua duka au? Aiseee!!! Wanaume tukifika mbinguni Mungu atufikirie kidogo maana km jehanam tutakuwa tushasota vya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…