Sijui hata nifanyaje?

Basi rudisha gari lake uchape lapa.

Nimejaribu kuvaa viatu vya jamaa kiukweli imeniuma sana.

Kwa upuuzi huu kuolewa utakusikia kwenye njozi.

Nyambaafu....z@ko.
Pole heeheee maishaa hayana usawa
 
Wewe hujampenda huyo!
 
Mie mwenyewe karma...rizik ya mtu ipo mikononi mwa mtu...pesa za maskini ndiyo mali ya tajiri lol
May b kama una K kubwa na jamaa kadyudyu kadogooo lakini kama dyudyu inatosha na inasugua vyema walahi ladhaa utaisikiliziaa mpaka kwenye Ubongoo..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Kwahyo we unatakaje labda kwa mfano
 
Sitaki kuolewa naye lol! Baya hiv nilipeleke wap? Kwanza anaonekana mhongaji akinioa si atakua anahonga tu huko nje?
Jibu unalo tayari!! Umesema jamaa mbaya na huwez olewa naye,, hyo ndo sababu inafanya usiwe na hisia nae
 
Bora we mpenz ...mwenzio mume wa ndoa.Nilisema nitampendaga hukohuko kumbe ndo nimeshindwa jumla.Siyo kwamba anapesa kama wako ...noo Mimi kinachoshika hapa ni upendo wake tu yaan sijawahi on a upendo kama huu kiukweli
 
Halafu wewe ndio humpendi?
 
Kwasababu wote mnatumiana, vumilianeni. Cha kufanya, ww timiza anachohitaji ili upate uliyoahidiwa. What goes around, comes around.
 
Kwasababu wote mnatumiana, vumilianeni. Cha kufanya, ww timiza anachohitaji ili upate uliyoahidiwa. What goes around, comes around.
Ntajitahid mpaka pape mambo yangu yatakapotulia...
 
Bora we mpenz ...mwenzio mume wa ndoa.Nilisema nitampendaga hukohuko kumbe ndo nimeshindwa jumla.Siyo kwamba anapesa kama wako ...noo Mimi kinachoshika hapa ni upendo wake tu yaan sijawahi on a upendo kama huu kiukweli
Aseeee hii hali kumbe ipo tu! Unakabiliana nayo vipi sasa..hata mie naonyeshwa upendo hasa na nataman nionyeshe pia ila huwez amin hata romance naye siwez
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…