Sijui hata nifanyaje?

1.Hilo gari sio lako amekuazima ili ukizingua anachukua mali yake hivyo kurudisha utarudisha (maana hauna hati ya umiliki yyte).

2.Hauja hisia naye .
 
Vipi ukijaribu kwa mtu mwingine unapata utam?
 
1.Hilo gari sio lako amekuazima ili ukizingua anachukua mali yake hivyo kurudisha utarudisha (maana hauna hati ya umiliki yyte).

2.Hauja hisia naye .
Ndo najitahid nisizingue sasa.
Mbona nataman sana hisia ziwepo?
 
Kwahiyo wewe huwa unafika unapanda kitandani unasubiria kufanywa ili usikie raha?? Kufurahia mapenzi kunategemea na juhudi zako binafsi pia, sio utegemee mtu ajipinde tu wakati wewe unawaza kadi ya gari!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…