Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Sikushauri wewe,ila nawashauri wanawake ,ukiwa na mpango wa kuolewa dada yangu punguza marafiki wa kiume,. Binafsi sijawai amini urafiki kati ya mwanamke na mwanaume,. Ukiona demu wako ana rafiki wa kiume na hamna kilichotokea ,ujue huyo mwanaume kaamua kumuheshimu ,,,, nilikuwa na marafiki wa kike ila asilimia 75% walibadili lengo la urafiki wanapokuta nipo Bado kwenye lengo la kwanza (urafiki)wanaishia kunilaumu "eti nimezubaa". ,,, Mission ya kwanza kwenye mahusiano yangu Kila siku ni kuhakikisha mwandani anajua siwaamini rafiki zake wa kiume wote,so she fights to keep a distance from them ili mi niendelee kuwepo kwenye maisha yake,kinyume na hapo anajua
Fact mkuu
 
Kuwa na uhusiano na mwanachuo ni (suicide mission)..
Maana wao kila jambo wanachukulia poa tuu wala hawajali uhusiano wenu.
Na akiona umetangaza ndoa anaona we ni kenge una shobo tu.

Africa mwanamke akishajiona msomi jiandae kisaikolojia.
 
Usimung’unye maneno kifupi sitisha kila kitu mzee manzi zipo nyingi sana kikubwa jipe muda Ila ukitaka kulia ufuate moyo wako uishie kulia tu na kumbuka ukisha oa kuachana kunakuwa kigumu sana…..kumbuka huu ni ushauri wa BURE
 
Mambo yao waachie mwenyewe

Mwanamume akishajua tu manzi kacheat au mdanganyifu huwa hatuulizi wala kuomba ushauri ni kupiga chini huwa hatutafutagi ushauri kwenye hilo

Huyo mshikaji kaja kukuomba ushauri lakini inaonekana bado anamkubali huyo demu.

Usiingilie mambo yao waachie wenyewe
Nadhan ushaidi ni wa kimazingira tu nadhan angepata ushahid thabit asingenifata coz jamaa ni mtu wa msimamo
 
Amuoe tu inawezekana aliogopa kusema ukweli ili jamaa asipate wivu ikabd aseme uongo mtakatifu..

Demu ukiwa na wivu sana anajihami hata akitumiwa text ya kirafiki ka mume una react hovyo anafuta au anasevu jina la kike
 
Nyie wanachuo hamshauriki.
Hua tunashusha marisala hapa mkimaliza mnaenda kulia lia na kurudiana ili mkale mihogo na kachumbari.
Mwambie huyo jamaa ako, watoto wa chuo hua hawaolewi mpka wamalize miaka 2 baada ya chuo. Wakishapauka mtaa ndo akili zinatulia. Sasa hv bado wako snapchat. Ataumiza komwe bure tu.
bonge moja la ushauri
 
Back
Top Bottom