we we jua niko chuo tu,chuo gani kitakusaidia nn?
Lazima kitakuwa kimojawapo kati ya hivi vyuo vyetu vya kata
we we jua niko chuo tu,chuo gani kitakusaidia nn?
Tatizo ni kuwa mm ninamchumba na nampenda sana
Average GPA yako ya First na Second year ni ngapi? Tuanzie hap kwanza