Sijui atamwambia wife?


tabia uliyo nayo inatisha sana daah! Inasikitisha
 
hahahahahhaaaaa,,,, jamaa kanikumbusha mbali sana, ss mama alikuwa anategesha masufuria mlangoni kwa hg,,, ukinyatia usiku lazima uyagongeee.......sikiliza mziki wake...ahhahahahahahahaa...

noma kweli aibu nimeona mimi
 

Duh umenichekesha sana 😜😜😜😜😜
 

ahhhahhhhhhahhhhahh
 
Kwanini unakuwa mjinga kiasi hicho wewe unamuacha mke kitandani unafuata mgeni khaa!!! Ebu badilika mkeo hata kama kaambiwa amekusamehe koma kabisa huo ni udhaifu na ujuha nakama utashindwa kubadilika uwe unawapeleka guest tena kwa makubaliano sio unavamia chumbani na kijinoti mkononi.... Koma kabisa
 
Nyie si mnaambiwa mtahahalishiwa viroba mnakubali, matokeo yake ndiyo hayo.

Kwanza acha pombe.

Nakukumbuka sana,ikipita siku moja sijasoma ujumbe wako wowote humu jamvini,usiku wangu unakuwa mgumu sana kwani hata usingizi naupata kwa shida sana...
 
Hahahhahahahahhaha....aisee nimecheka,dah!kwa hiyo huwa unatembea na wekundu unaonyesha unapewa nafasi....ila naamini hatamuambia ni wewe kubadilika,hiyo ni ishara kuwa ulikuwa unapotea
 
God is watching you
unapata faida gani kuandika uongo????

HAPO UMESEMA ALIPIGA KELELE AKAWAAMSHA NYUMBA NZIMA
chini unasema
NARUDI HOME USIKU MAANA SIJUI KAMA SHEM KESHAMWAMBIA WIFE???

damnnnnnn unajielewa kweli kama alianza kupiga kelele katika nyumba moja ni wazi kwamba mkeo alisikia sasa iweje useme hujui kama keshamwambia wife
and by the way si mnalala pamoja nyinyi?????
unashindea kujua kwamba keshajua huyo mkeo????

Tafafhali ifanye jf kuwa sehemu salama kuna watu wanakuja huku wana shida kweli kweli.
 

Za mwizi ni arobaini,pole mkuu!!
 

Soma vizuri post Masai Dada umesoma haraka haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…