Sijui atamwambia wife?

Aisaee, umenichekesha..you mad my day!!
 
mnyatie tena nyatu nyatu

hivi hii dunia kumbe kuna watu wanavituko mpaka basi

hahahahahhaaaaa,,,, jamaa kanikumbusha mbali sana, ss mama alikuwa anategesha masufuria mlangoni kwa hg,,, ukinyatia usiku lazima uyagongeee.......sikiliza mziki wake...ahhahahahahahahaa...
 
yaan kweli kama umedhamiria kuacha ni vyema mkeo ajue ndo hapo utaaibika na utaacha nkiwa na mume wa hivi wageni wote lazima niwapime ukimwi getini hatak arudi kwake
 
martins paul

30,000/= ndio hela gani na wewe? Unakuwa kama sio mtoto wa mjini? Kesho nenda na kilo uone kama atanena kwa lugha!
 
Last edited by a moderator:
Mwambie shemeji yako kuwa, sikujua shemeji kama we mlokole, naomba niombee ninatatizo la kueeweseka usiku na wakati mwingine najijuta nimeamka na kutoka chumbani bila mimi kujua.
Atakuelewa...
 
Hapo kama kweli umejutia na unataka kubadilika, mwambie akuombee uache hiyo tabia, atajua ibilisi tu alikupitia na atakuona muungwana kwa kujutia kosa lako.
 
Naanzaje kukuhurumia kwa mfano?
Tangaza dau, maana mume ninae, mchepuko ninao, kwako nitaangalia maslahi tu.

Khaaaa..... Yani sura nzuri, roho mbaya kama ngumi ya nwizi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…