Sijui ameuingia mkenge??

Padri akiingia mkenge haina noma. But mwenza aingie mkenge lols. Utakimbizwa milembe.
 
Misa ilikuwa ndefu tu hapo.Watakuwa wamechoka sana. Kuingia mkenge si mchezo
 
Misa ilikuwa ndefu tu hapo.Watakuwa wamechoka sana. Kuingia mkenge si mchezo
Hapa wapo ofisini hawajaingia kanisani,kuweka ahadi zao.Wapo kwenye yale maandalizi ya kwenda kuingia misa wanasubiriana muda ufike ndio waingie kanisani wakiongozwa na flower children na padiri.
 
Wanaume mbona kama vile wamelazimishwa.
 
Kama wanasubiri majibu angaza duh ndoa ni noma.
 
Mh i thought marriage is a happy moment.....and actually women are usually more nervous than men!!!
 
sometimes ndoa ni kama kifungo cha maisha, hakina msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…