Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,316
atatafsiri unamuongezea maumivu kwaio mikono yako halali ya meno yakeJinsi ya kumsaidia kumtoa ndio shughuli ilipo
Atafutwe mhehe hapo haraka sana atatokaJinsi ya kumsaidia kumtoa ndio shughuli ilipo
Sio!!! Angalia kivuli, atakuwa alikuwa kalala akachelewa kukimbia, akapigwa hiyo back mkia ukaingia kwenye tairi, tairi likamvuta!!!Photoshop
ahaa sawa mkuuSio!!! Angalia kivuli, atakuwa alikuwa kalala akachelewa kukimbia, akapigwa hiyo back mkia ukaingia kwenye tairi, tairi likamvuta!!!
Hapo si unafungua tairi ya mbele tuu?Jinsi ya kumsaidia kumtoa ndio shughuli ilipo
Hakuachi salama labda amtoe ufahamu kwanza.Hapo si unafungua tairi ya mbele tuu?
Kwa wazungu wangekata hiyo shock absorber kumtoa, ila kama ni bongo nafikiri walimvuta tu!
Ila ataumia!Hapo ukiendesha tu anachomoka mwenyewe
Hawezi kukudhuru coz anajua kua unamuokoa kutoka kwenye hatari.Hakuachi salama labda amtoe ufahamu kwanza.